Uchaguzi 2020 Kampeni Mbagala Lissu aandaliwe vyema


Nadhani sasa mmeanza kulielewa swali la Dr alipowauliza akina Lisu "Huyu Lowasa mnayemleta ni ASSET au LIABILITY?"
Wenye akili wote tulijua tutapata umaarufu feki na kura bandia za wakimbizi wa CCM, lakini gharama yake ni kuipoteza imani ya UMMA kwa Upinzani.
Na believe me - Lisu atapata kura chache saaana kuliko alizowahi kupata Dr Slaa. (ukiachilia zile kura bandia za Lowasa)
 
Ni sawa lakini kwa mfano ukieleza sera yako kuwa "tutahakikisha kuwa tunakuwa na vipaumbele vya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo ya uchumi na kijamii kwa kufanya .......badala ya ..... kama serikali ya CCM ifanyavyo" nk nk na si kusema fulani alifanya hivi au vile nk.. Unesha mambo positive utakayofanya then imarisha hoja yako kwa kuonesha swala ambalo si zuri katika serikali ya sasa.
 
chini ya awamu hii, siasa za kimapokeo (conventional politics) haziwezi kufanya kazi. inahitajika radical approach ambayo ndiyo haswa Tundu Lissu is the best at.

don't change Tundu into what he's NOT. amefika hapo alipo (kuwa mgombea wa urais kupitia chama kikuu cha upinzani) si kwa kutumia siasa za kimapokeo.

after 60 days of campaigning sisi wapiga kura (wote kutoka CCM na upinzani) tutakuwa tumeshamwelewa Tundu.

go Tundu go.... hit them where it hurts most!!
 
Namwaminia Lisu !
 
Kweli urais ni kuandaa maandamano, kuhakikisha maslai mapana ya mabebelu anayalindwa na kuhakikisha fujo ndio mpanga mzima katika taifa na si ujezi wa mihundo mbinu, maji, umeme na vingine

Na vilevile taasisi ya uraisi si utetezi wa wanyonge bali ni utetezi wa mapenzi ya jinsia moja
 
Una hoja ila unapigia mbuzi gitaa hayo yangewezekana Kama mgombea angekuwa Nyalandu huyu kichwa maji Lisu hawezi pokea ushauri

Nyalandu sio mwanacdm bali ni mwanaccm.
 
Kumbe ile ilikuwa aibu?

Mbona tulikuwa tunawaambia mkawa mnatoa mapovu?
 
Nadhani mwaka huu Chadema wamejipanga vema. Mambo ya kunanga chama tawala yapo mengi sana kwa hiyo tutarajie burudani.
 
Chadema hawapaswi kwenda Mbagala mikono mitupu au na vikaratasi. Huko nyuma tuliwasihi waandae ilani kamili. Katibu mkuu Mnyika aliwahi kusema wanaandaa ilani. CCM watakuwa bize kujua Kama Chadema Wana Ilani. CHADEMA IKIKOSA ILANI IMEJIMALIZA
 
Aisee tulijikaza kiume ila Lowassa alikuwa anazingua sana jukwaani. Kiukweli Lowassa angekuwa mzungumzaji mzuri basi uwanja ulikuwa wazi kwake.
Ila Lowasa alikua Bora sana kwenye organisation . Wale vijana wa Lowassa walijipanga kwenye media, Kwenye vifaaa na propaganda. BILA Lowassa mbowe asingeweza. Mbowe ana uzubavu au sio mweledi kwenye kuunda team.
 
Mkuu usinikumbushe 2015 tulivumilia sana aisee, imagine unahutubiwa na kina Lawrence Masha anatuambia "Nimefungwa nikipigania haki" wakati miaka kadhaa nyuma aliwananga wafungwa eti jela siyo Kenpisk?
ahahahaaaaa . . . . . . . .duuuh hii mbaya sana asee
 
Chadema hawapaswi kwenda Mbagala mikono mitupu au na vikaratasi. Huko nyuma tuliwasihi waandae ilani kamili. Katibu mkuu Mnyika aliwahi kusema wanaandaa ilani. CCM watakuwa bize kujua Kama Chadema Wana Ilani. CHADEMA IKIKOSA ILANI IMEJIMALIZA

..CDM wanayo ilani.

..kila chama kinachoshiriki ktk uchaguzi mkuu kinatakiwa kisheria kuwasilisha ilani yao kwa Msajili wa Vyama.

..Na ilani inazinduliwa siku ya ufunguzi wa kampeni.

..wasiwasi wangu ni kama TL na Salum Mwalimu wameandaliwa/wamejiandaa vizuri kuizindua ilani ya CDM.

NB:

..Tatizo la wanasiasa wengi wa Tanzania ni kutojiandaa kabla ya kuzungumza na wananchi.

..Mkapa[r.i.p] hakuwa mzungumzaji mzuri, ila alikuwa akijiandaa kwelikweli, na hicho ndicho kilimuinua.
 

Chini ya Magufuli hakuna ushindani wa box la kura, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Lisu pia alitokea NCCR yeye na Godbless Lema na mchungaji Msigwa kabla kujiunga Chadema kwa hiyo wao NCCR?

Ukitokea upinzani na kwenda cdm we ni mpinzani, na sio kutoka ccm.
 
Mkuu, tegemea boko za kufa MTU Leo. Hapo ufipani hakuna mathink tanks anymore, pole.
 
Sasa hivi mkuu tuna jembe mpaka Magu huko aliko anajambajamba tu utafikri amechanganya maharage ya Mbeya na Uduvi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…