G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Aisee tulijikaza kiume ila Lowassa alikuwa anazingua sana jukwaani. Kiukweli Lowassa angekuwa mzungumzaji mzuri basi uwanja ulikuwa wazi kwake.2015 ilikuwa na CCM vs CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee tulijikaza kiume ila Lowassa alikuwa anazingua sana jukwaani. Kiukweli Lowassa angekuwa mzungumzaji mzuri basi uwanja ulikuwa wazi kwake.2015 ilikuwa na CCM vs CCM
Mkuu usinikumbushe 2015 tulivumilia sana aisee, imagine unahutubiwa na kina Lawrence Masha anatuambia "Nimefungwa nikipigania haki" wakati miaka kadhaa nyuma aliwananga wafungwa eti jela siyo Kenpisk? Dah anakuja Lowassa anahutubia dakika 5 tunaondoka! Aisee ile ilikuwa zaidi ya aibu!
Ni sawa lakini kwa mfano ukieleza sera yako kuwa "tutahakikisha kuwa tunakuwa na vipaumbele vya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo ya uchumi na kijamii kwa kufanya .......badala ya ..... kama serikali ya CCM ifanyavyo" nk nk na si kusema fulani alifanya hivi au vile nk.. Unesha mambo positive utakayofanya then imarisha hoja yako kwa kuonesha swala ambalo si zuri katika serikali ya sasa.Mkuu CDM haijawahi kushika dola so haina cha kueleza imefanya nini
Nchi yetu ni masikini sana na kwa miaka yoote ccm imetawala na kutufikisha hapa
Kazi ya CDM kubwa ni kueleza madhaifu ya ccm na kisha kumalizia itafanya nini
Ni lazima kwanza umuue mpinzani wako kwenye weakness yake tena unapiga kweli kweli halafu unamalizia wewe ndio chama sahihi utafuta hizo weakness
Walio wengi mnataka eti cdm wakae wanaongea watakachofanya kwa asilimia kubwa ya kampeni......nope
Cdm wakisema ccm wezi hawajafanya hiki na kile tafsiri yake nyepesi ni kwamba mimi sio mwizi na nitafanya hiki na kile
So ccm wakae kwa kutulia dozi iwaingie
Wao wana yao pia ya kueleza
Alishinda lakini tume ikateua mshindi wakeAisee tulijikaza kiume ila Lowassa alikuwa anazingua sana jukwaani. Kiukweli Lowassa angekuwa mzungumzaji mzuri basi uwanja ulikuwa wazi kwake.
chini ya awamu hii, siasa za kimapokeo (conventional politics) haziwezi kufanya kazi. inahitajika radical approach ambayo ndiyo haswa Tundu Lissu is the best at.Ni Imani yangu CHADEMA wameshaona na kujifunza kuhusu nguvu na udhaifu wa mgombea urais wao .
Siwezi kukosoa sana kwa kuwa mgombea alikua akicheza one man show na freestyle. Sasa ni kampeni rasmi zinazinduliwa. Mgombea na chama wanapaswa kujipanga. Wasiingie Kama 2015 pale Jangwani disorganised .
Hotuba ziandaliwe kikamilifu , Kila hoja apewe mtu mwenye weledi nayo . Kwa ufupi asiachwe mgombea au wagombea pekee kuzungumzia ilani.
Waandaliwe watu makini bila kujali vyeo vyao mfano bwana Nyalandu ana uwezo wa kutuliza munkari
Msigwa anaweza amshaamsha bila kushambulia wengine hovyo.
Profesa J anaweza kusimama na Sugu ufunguzi wa jukwaaa.
CHADEMA ijiepushe na mashambulizi kwa vyama vya upinzani hata Kama Kuna ya chinichini yabaki chini wasiwe wa Kwanza kuyaleta jukwaani.
Muda utumike vizuri sio hoja ya msingi inaletwa usiku wakati hakuna utulivu.Ni afadhali mkamaliza na burudani kuliko burudani ikatawala Kisha mkamaliza na elimu, elimu elimu.
Viongozi wajue Kila anayepanda jukwaani ana Nini Cha kuongea mfano mgombea ubunge, udiwani meya wastaafu nk.Vinginevyo mtu ataweza chafua Hali ya hewa.
Namwaminia Lisu !Mkuu usinikumbushe 2015 tulivumilia sana aisee, imagine unahutubiwa na kina Lawrence Masha anatuambia "Nimefungwa nikipigania haki" wakati miaka kadhaa nyuma aliwananga wafungwa eti jela siyo Kenpisk? Dah anakuja Lowassa anahutubia dakika 5 tunaondoka! Aisee ile ilikuwa zaidi ya aibu!
Kweli urais ni kuandaa maandamano, kuhakikisha maslai mapana ya mabebelu anayalindwa na kuhakikisha fujo ndio mpanga mzima katika taifa na si ujezi wa mihundo mbinu, maji, umeme na vingineNi Imani yangu CHADEMA wameshaona na kujifunza kuhusu nguvu na udhaifu wa mgombea urais wao .
Siwezi kukosoa sana kwa kuwa mgombea alikua akicheza one man show na freestyle. Sasa ni kampeni rasmi zinazinduliwa. Mgombea na chama wanapaswa kujipanga. Wasiingie Kama 2015 pale Jangwani disorganised .
Hotuba ziandaliwe kikamilifu , Kila hoja apewe mtu mwenye weledi nayo . Kwa ufupi asiachwe mgombea au wagombea pekee kuzungumzia ilani.
Waandaliwe watu makini bila kujali vyeo vyao mfano bwana Nyalandu ana uwezo wa kutuliza munkari
Msigwa anaweza amshaamsha bila kushambulia wengine hovyo.
Profesa J anaweza kusimama na Sugu ufunguzi wa jukwaaa.
CHADEMA ijiepushe na mashambulizi kwa vyama vya upinzani hata Kama Kuna ya chinichini yabaki chini wasiwe wa Kwanza kuyaleta jukwaani.
Muda utumike vizuri sio hoja ya msingi inaletwa usiku wakati hakuna utulivu.Ni afadhali mkamaliza na burudani kuliko burudani ikatawala Kisha mkamaliza na elimu, elimu elimu.
Viongozi wajue Kila anayepanda jukwaani ana Nini Cha kuongea mfano mgombea ubunge, udiwani meya wastaafu nk.Vinginevyo mtu ataweza chafua Hali ya hewa.
Una hoja ila unapigia mbuzi gitaa hayo yangewezekana Kama mgombea angekuwa Nyalandu huyu kichwa maji Lisu hawezi pokea ushauri
Kumbe ile ilikuwa aibu?Mkuu usinikumbushe 2015 tulivumilia sana aisee, imagine unahutubiwa na kina Lawrence Masha anatuambia "Nimefungwa nikipigania haki" wakati miaka kadhaa nyuma aliwananga wafungwa eti jela siyo Kenpisk? Dah anakuja Lowassa anahutubia dakika 5 tunaondoka! Aisee ile ilikuwa zaidi ya aibu!
Chadema hawapaswi kwenda Mbagala mikono mitupu au na vikaratasi. Huko nyuma tuliwasihi waandae ilani kamili. Katibu mkuu Mnyika aliwahi kusema wanaandaa ilani. CCM watakuwa bize kujua Kama Chadema Wana Ilani. CHADEMA IKIKOSA ILANI IMEJIMALIZAMkuu CDM haijawahi kushika dola so haina cha kueleza imefanya nini
Nchi yetu ni masikini sana na kwa miaka yoote ccm imetawala na kutufikisha hapa
Kazi ya CDM kubwa ni kueleza madhaifu ya ccm na kisha kumalizia itafanya nini
Ni lazima kwanza umuue mpinzani wako kwenye weakness yake tena unapiga kweli kweli halafu unamalizia wewe ndio chama sahihi utafuta hizo weakness
Walio wengi mnataka eti cdm wakae wanaongea watakachofanya kwa asilimia kubwa ya kampeni......nope
Cdm wakisema ccm wezi hawajafanya hiki na kile tafsiri yake nyepesi ni kwamba mimi sio mwizi na nitafanya hiki na kile
So ccm wakae kwa kutulia dozi iwaingie
Wao wana yao pia ya kueleza
Ila Lowasa alikua Bora sana kwenye organisation . Wale vijana wa Lowassa walijipanga kwenye media, Kwenye vifaaa na propaganda. BILA Lowassa mbowe asingeweza. Mbowe ana uzubavu au sio mweledi kwenye kuunda team.Aisee tulijikaza kiume ila Lowassa alikuwa anazingua sana jukwaani. Kiukweli Lowassa angekuwa mzungumzaji mzuri basi uwanja ulikuwa wazi kwake.
ahahahaaaaa . . . . . . . .duuuh hii mbaya sana aseeMkuu usinikumbushe 2015 tulivumilia sana aisee, imagine unahutubiwa na kina Lawrence Masha anatuambia "Nimefungwa nikipigania haki" wakati miaka kadhaa nyuma aliwananga wafungwa eti jela siyo Kenpisk?
Chadema ubaguzi utawatafuna sana, makapi mnayapenda lakini ni hamtaki mbichi hizi,Nyalandu sio mwanacdm bali ni mwanaccm.
Chadema hawapaswi kwenda Mbagala mikono mitupu au na vikaratasi. Huko nyuma tuliwasihi waandae ilani kamili. Katibu mkuu Mnyika aliwahi kusema wanaandaa ilani. CCM watakuwa bize kujua Kama Chadema Wana Ilani. CHADEMA IKIKOSA ILANI IMEJIMALIZA
Lisu pia alitokea NCCR yeye na Godbless Lema na mchungaji Msigwa kabla kujiunga Chadema kwa hiyo wao NCCR?Nyalandu sio mwanacdm bali ni mwanaccm.
Nadhani sasa mmeanza kulielewa swali la Dr alipowauliza akina Lisu "Huyu Lowasa mnayemleta ni ASSET au LIABILITY?"
Wenye akili wote tulijua tutapata umaarufu feki na kura bandia za wakimbizi wa CCM, lakini gharama yake ni kuipoteza imani ya UMMA kwa Upinzani.
Na believe me - Lisu atapata kura chache saaana kuliko alizowahi kupata Dr Slaa. (ukiachilia zile kura bandia za Lowasa)
Lisu pia alitokea NCCR yeye na Godbless Lema na mchungaji Msigwa kabla kujiunga Chadema kwa hiyo wao NCCR?
Sasa hivi mkuu tuna jembe mpaka Magu huko aliko anajambajamba tu utafikri amechanganya maharage ya Mbeya na Uduvi!!Mkuu usinikumbushe 2015 tulivumilia sana aisee, imagine unahutubiwa na kina Lawrence Masha anatuambia "Nimefungwa nikipigania haki" wakati miaka kadhaa nyuma aliwananga wafungwa eti jela siyo Kenpisk? Dah anakuja Lowassa anahutubia dakika 5 tunaondoka! Aisee ile ilikuwa zaidi ya aibu!