Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Kilochobaki baada ya kutangaza kuwa Jiwe atakuwepo, chini wanaweka picha ya Diamond, Alikiba na wasanii wengine [emoji23][emoji23][emoji23], ili watu waje kwa malori waliyoandaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polepole maskini, amefeli vibaya uenezi amemwachia diamondKilochobaki baada ya kutangaza kuwa Jiwe atakuwepo, chini wanaweka picha ya Diamond, Alikiba na wasanii wengine [emoji23][emoji23][emoji23], ili watu waje kwa malori waliyoandaa
Kwakweli hali mbaya, na mbaya zaidi amegeuka chama Cha Upinzani anasubiri Lissu aseme yeye apinge na kufafanua ...🤣🤣Kilochobaki baada ya kutangaza kuwa Jiwe atakuwepo, chini wanaweka picha ya Diamond, Alikiba na wasanii wengine [emoji23][emoji23][emoji23], ili watu waje kwa malori waliyoandaa
Nadhani awamu hi hii ndo wame na watatumia gharama kubwa zaidi ya kampeni na uchaguzi kuliko ushindi watakao upata tofauti na walivyotegemeaPolepole maskini, amefeli vibaya uenezi amemwachia diamond
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app