imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
ππππππππππππππππ Ombwe la uongozi linazidi kuomba kulaMagufuli: Tumenunua ndege 11 kwa mpigo mpya, sisi ni masikini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππππππππππ Ombwe la uongozi linazidi kuomba kulaMagufuli: Tumenunua ndege 11 kwa mpigo mpya, sisi ni masikini?
Kanyaga maliwatoni kwa miaka mingineKanyaga twende 2020 JPM mitano tena
Acha kazi ziendeleeAtang'ang'ania madaraka kwa kigezo Cha miradi we shangilia tu uje kulia
Akale ndege na familia yake amevimbiwa kodi zetu ajui vipaumbele vya wananchi wanaoshinda njaaAcha kazi ziendelee
Kwani shemeji Wakati mnajenga Ile nyumba yenu na bro bajeti yenu hamkuibinya kidogo ili tu mkamilishe hako kaujenzi kuondokana na kulipia Kodi za nyumba za kupanga shemu?Etiii! Maendeleo ya miundo nini?
Safari bado ni ndefu sana kwa walio wengi
Umaskini Ujinga na Upumbavu kuzidi kukomaaa
Wafanyakazi kwenye hizo ndege wananeemekaAkale ndege na familia yake amevimbiwa kodi zetu ajui vipaumbele vya wananchi wanaoshinda njaa
10 kubeba Neema ya watu wengi sio uchumi huo.Vipi Kama pesa zingetumika kwenye vigusavyo wengi na vya kudumu milele mfano kujenga scheme za umwagiliaji mfano vijiji jirani ya mto ruvu yote ingechochea ajira ngapi kupitia kilimo,uvuvi,ufugajii,usafirishaji,viwanda nk.Wafanyakazi kwenye hizo ndege wananeemeka
Haya hakumbuki tena.Ile Video ya Bashe akilia Bungeni wekeni hapa
CCM ni LAANA ambayo imetumwa na Shetani kuja kuonea Watanzania
Alafu ayo ata sio maendeleo ni factors for development improvement of infrastructuresEtiii! Maendeleo ya miundo nini?
Safari bado ni ndefu sana kwa walio wengi
Umaskini Ujinga na Upumbavu kuzidi kukomaaa
Wafanye Nini hata kule fb kwa milard Ayo hawana nguvu swala hili halina itikadi woote linawakeraNgoja waje wale jamaa wa kutetea sasa uwasikie
Habari,
Katika hali si ya kawaida wananchi /CCM wameonesha kuchoshwa na kukerwa na kampeni za mgombea urais kwa tikeki ya CCM kutokana na agenda zake zisizokua na mashiko za ununuzi wa ndege.
Wananchi wameshindwa kabisa kuelewa utendaji wake wa kazi wa miaka 5 kwakushupalia vitu ambavyo si vipaumbele vyao kwakua Mambo yao ya msingi hayajapata ufumbuzi.
Wananchi kupitia page ya milard Ayo fb (ambao ndio kuna watanzania wengi zaidi wenye hali zoote) wamemvaa vikali mgombea huyo kwakumshangaa kushupalia manunuzi ya ndege kanakwamba nchi ilisimama(shughuli hazikufanyika) wakati hukuna ndege hizi.
Hi Ni hali ya hatari, Ni vyema angefungua masikio(Uhuru wa habari) akajua hitaji la wananchi na akawa mwepesi kuskiliza kuliko kujiamlia...
Kuna lakujifunza hapa maana urais si wafamilia au wake binafsi Bali ni wa wenye nchi.
Naambatanisha attachment za comments hizo