Uchaguzi 2020 Kampeni Nzega: Dkt. Magufuli asema wanaomshangaa kununua ndege 11 wamepungukiwa

Magufuli: Tumenunua ndege 11 kwa mpigo mpya, sisi ni masikini?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ombwe la uongozi linazidi kuomba kula
 
ATCL imegeuzwa Uber! Watalii ulaya wanapiga simu ATC inakwenda kuwachukua na kuwaleta TZ! Ni wajinga tu wataamini, mtalii atakuja kwa ndege yake na atarudi kwao kwa ndege yake.
 
Etiii! Maendeleo ya miundo nini?
Safari bado ni ndefu sana kwa walio wengi
Umaskini Ujinga na Upumbavu kuzidi kukomaaa
Kwani shemeji Wakati mnajenga Ile nyumba yenu na bro bajeti yenu hamkuibinya kidogo ili tu mkamilishe hako kaujenzi kuondokana na kulipia Kodi za nyumba za kupanga shemu?

Baada ya ujenzi kuisha, unayaonaje maisha?

Lakini Je, ili kupunguza ughali wa maisha Kwa mtu, anapaswa kufanya nini? Je kupata pesa na kuwekezaa au kupata pesa na kutumbua?
 
Juhudi zako zinaonekana raisi wetu,chapa kazi...
 
Wafanyakazi kwenye hizo ndege wananeemeka
10 kubeba Neema ya watu wengi sio uchumi huo.Vipi Kama pesa zingetumika kwenye vigusavyo wengi na vya kudumu milele mfano kujenga scheme za umwagiliaji mfano vijiji jirani ya mto ruvu yote ingechochea ajira ngapi kupitia kilimo,uvuvi,ufugajii,usafirishaji,viwanda nk.
Kiongozi wa nchi yafaa atoke kwenye fani ya sheria,diplomasia ,biashara au uchumi.
 
Etiii! Maendeleo ya miundo nini?
Safari bado ni ndefu sana kwa walio wengi
Umaskini Ujinga na Upumbavu kuzidi kukomaaa
Alafu ayo ata sio maendeleo ni factors for development improvement of infrastructures
 
Habari,
Katika hali si ya kawaida wananchi /CCM wameonesha kuchoshwa na kukerwa na kampeni za mgombea urais kwa tikeki ya CCM kutokana na agenda zake zisizokua na mashiko za ununuzi wa ndege.

Wananchi wameshindwa kabisa kuelewa utendaji wake wa kazi wa miaka 5 kwakushupalia vitu ambavyo si vipaumbele vyao kwakua Mambo yao ya msingi hayajapata ufumbuzi.

Wananchi kupitia page ya milard Ayo fb (ambao ndio kuna watanzania wengi zaidi wenye hali zoote) wamemvaa vikali mgombea huyo kwakumshangaa kushupalia manunuzi ya ndege kanakwamba nchi ilisimama(shughuli hazikufanyika) wakati hukuna ndege hizi.

Hi Ni hali ya hatari, Ni vyema angefungua masikio(Uhuru wa habari) akajua hitaji la wananchi na akawa mwepesi kuskiliza kuliko kujiamlia...
Kuna lakujifunza hapa maana urais si wafamilia au wake binafsi Bali ni wa wenye nchi.
Naambatanisha attachment za comments hizo
 
Back
Top Bottom