Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Chadema mnajitapa mna wanachama active 12 milioni. Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ kwa wiki mnaomba 1K kwa kichwa nayo tia maji, tia maji. Hao wanachama 12m ni wafu au ‘Ghosts’? Kama katika 12m mnashindwa kupata 1K kwa mtu kwa siku 7?
Chadema sina uhakika kama mna wanachama hai (active members) laki moja (100K) hadi sasa. Mmebakiza porojo tu.