Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ nayo unabuma wanachama hewa

Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ nayo unabuma wanachama hewa

SABODO ALITOA MILLIONI MIAMOJA YA KUJENGA OFISI YA CHAMA MBOWE KALA YOOOOOOOOOOTEEEEEEE HALAFU BADO MNAMUABUDU KAMA NINI NA KUSEMA SIYO GAIDI??
 
Na Trillion thelathini magufuli alizowaibia watanzania chini ya miaka minne tu.
HIZO NDIZO UNAONA MABARABARA FLYOVER MADARAJA NA VITU KIBAO HEBU NIAMBIE ALIZOWAIBIA MBOWE AMEFANYIA NINI ? NA BADO MNAIMBA NA KUABUDU KWAKE? USHAMBA MZIGO AISEE
 
HIZO NDIZO UNAONA MABARABARA FLYOVER MADARAJA NA VITU KIBAO HEBU NIAMBIE ALIZOWAIBIA MBOWE AMEFANYIA NINI ? NA BADO MNAIMBA NA KUABUDU KWAKE? USHAMBA MZIGO AISEE
Hapana mkuu. Barabara katumia Trillion Ishirini tu akaiba bila aibu trillion 30. Kwasababu hela yote ilikuwa trillion hamsini akaiba bila aibu trillion 30 Ishirini iliyobaki ndio akazugia iyo mibarabara. Ikabidi awaishwe tu kuzimu faster kabla ya siku zakekwa maslahi mapana ya taifa kulinusuru taifa
 
Wanaukumbi.

Chadema mnajitapa mna wanachama active 12 milioni. Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ kwa wiki mnaomba 1K kwa kichwa nayo tia maji, tia maji. Hao wanachama 12m ni wafu au ‘Ghosts’? Kama katika 12m mnashindwa kupata 1K kwa mtu kwa siku 7?

Chadema sina uhakika kama mna wanachama hai (active members) laki moja (100K) hadi sasa. Mmebakiza porojo tu.

View attachment 2137225
Naona toka Maza ameingia umerudi kwa kazi sana na umekuwa mpiga propaganda zaidi ya enzi za JK.

Anyway, Chadema wanadai wanachama million 7 siyo 12 kama unavyodai.
 
Hivi Ufipa mlipomfukuza Zitto mlitegemea arudi Kigoma kulima nyanya?
 
Back
Top Bottom