Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ nayo unabuma wanachama hewa

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Chadema mnajitapa mna wanachama active 12 milioni. Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ kwa wiki mnaomba 1K kwa kichwa nayo tia maji, tia maji. Hao wanachama 12m ni wafu au ‘Ghosts’? Kama katika 12m mnashindwa kupata 1K kwa mtu kwa siku 7?

Chadema sina uhakika kama mna wanachama hai (active members) laki moja (100K) hadi sasa. Mmebakiza porojo tu.

 
Chawa wa kiongozi mkuu wa NGOGWE wamerudi kwa Kasi,mbona hamjakanusha Ile taarifa ya makamo wa kwanza wa Zanzibar,alivyosema serkari ya umoja wa kitaifa haijaleta muafaka.



 
We jamaa uloadimika Sana miaka ya awamu ya Chato.
 
Talk sense to a fool and he will call you foolish. Hoja hujibiwa kwa hoja.Ukiona watu wanakimbilia matusi basi jua hoja inahitaji majibu.
 
Kwani unajua mpaka sasa zimekusanywa shilingi ngapi?
 
Unachokiona kichekesho kiliwatoa watu jela kwa muda mfupi.Watu walichangia. Hata hili hapa watu wanachangia.

Utakuwa na wanchama hai laki moja katika kipindi kilichopita mabcho kuwa opposition ilikuwa almost sawa na uhaini.Watu ndio wanaanza ku recover sasa!
 
Majisifu tu labda wana washabiki tu sio wananchama
 
Saa ngapi tunaitisha Space au tunakutana Club House ili tuwalaumu viongozi wa dini,
Nani kawatuma kumuombea Mbowe msamaha.
 
Saa ngapi tunaitisha Space au tunakutana Club House ili tuwalaumu viongozi wa dini,
Nani kawatuma kumuombea Mbowe msamaha.
ni vichaa tu huwa wansamehe "magaidi" kam ayale magaidi ya kiislamu yaliyosamehewa ...kesi iendelee hapigiwi mtu magoti hapa wapuuzi kweli halafu msukuma aliwaweza kweli hii iD ilikuw aimepoteaga kabisa naona mmerudi ulingoni sasa mnakula per diem tu
 
Uwe unauliza Kama hujui kitu.
Kama hujui kitu uwe unauliza. One million challenge ipo ndani ya join the chain.
 
Acha wivu, hata mchawi wakati mingine anaficha wivu na chuki yake Kwa anaowalenga😃😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…