Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ nayo unabuma wanachama hewa

Haya ni Makao Makuu ya chama kinachotaka tukipe dhamana ya kuongoza nchi yetu. Tena hata hiyo nyumba vichochoroni wamepangisha. 🙈

Hivi hata dunia si watatucheka. 👋🏿😁

We mmanyema shughulika na ukoma wako kwanza.
 
Leta picha ya Makao Makuu ya TANU wakati inapewa Uhuru wa Tanganyika Desemba 9, 1961.
SABODO ALITOA MILLIONI MIAMOJA YA KUJENGA OFISI YA CHAMA MBOWE KALA YOOOOOOOOOOTEEEEEEE HALAFU BADO MNAMUABUDU KAMA NINI NA KUSEMA SIYO GAIDI??
 
Acha wivu, hata mchawi wakati mingine anaficha wivu na chuki yake Kwa anaowalenga😃😄
Vipi leo spesi saa ngapi kuwatukana viongozi wa dini waliomuombea Mbowe.
 
Vipi leo spesi saa ngapi kuwatukana viongozi wa dini waliomuombea Mbowe.
Usijumuishe wote we mkoma... aliyejipendekeza na kujidhalilisha na sheikh ubwabwa wenu ambaye hakutumwa.

Mbowe hana shida ya msamaha pelekeni ukoma wenu huko.
 
SABODO ALITOA MILLIONI MIAMOJA YA KUJENGA OFISI YA CHAMA MBOWE KALA YOOOOOOOOOOTEEEEEEE HALAFU BADO MNAMUABUDU KAMA NINI NA KUSEMA SIYO GAIDI??
Na Trillion thelathini magufuli alizowaibia watanzania chini ya miaka minne tu.
 
Haya ni matamanio ya kila mwanaccm kuwa cdm isifanikiwe.
 
We jamaa Leo nimekudharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…