Kampeni ya Ku-unfollow wasanii inayoendeshwa na Mange Kimambi imeleta athari ya chini ya 0.2%

Wanaharakati wa mitandaoni wanatenda kosa moja linalofanana miongoni mwao wote, kwamba haki kwa wanavyoijua wao kwa kila mtu inamaanisha kitu hicho hicho.

Wanadhani kwamba akili zao wanazofikiria zipo juu sana ndizo hizo hizo kila mtanzania anazo.

Labda tatizo akili za ujana na uchanga wa kutokujua dunia halisi ipoje labda kiburi kibaya kilichotokana na malezi waliyoyapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…