Kampeni ya Ku-unfollow wasanii inayoendeshwa na Mange Kimambi imeleta athari ya chini ya 0.2%

Kampeni ya Ku-unfollow wasanii inayoendeshwa na Mange Kimambi imeleta athari ya chini ya 0.2%

NI PUNGUANI TU AMBAYE ANADHANI SIASA HAIHUSU MAISHA YAKE!
Mimi nadhani hata kwenye siasa pia kuna umbea wa kisiasa na ushabiki wa kisiasa sawa na wa simba na yanga, kama humu muda mwingi tunafanya ushabiki wa kisiasa ndio maana kutwa kubishana na hawa machawa ambao tulitakiwa tuwaweke kwenye Ignore list tu.
 
Ukijitanya kwako siasa sio issue tambua ya kuwa:

Siasa inaamua jinsi gani maisha yako yatakuwa.
Kupanda kwa gharama za maisha ni siasa inaamua
Kuongezeka kodi na makato ya miamala ya simu/kibenki ni maamuzi ya wanasiasa.
...yapo memgine mengi, so ukiamua kukaa mbali na siasa huku ukiyqpa kipaumbele mambo ya simba na yangu, diamond na harmonize ujue tu hatma yake.
Kweli kabisa kaka siasa ni maisha ifike mahala tuache kushabikia vitu vya kipuuzi tudili na hiki ambacho ndo kinatuamulia hatma ya maisha yetu ya kila siku
 
ila ndo mlikua mnasema mnazuia wasanii kufanya show mpaka muache kununa 🤣
Msanii mwenye muziki mzuri ata prevail tu na kutengeneza. Muziki una lugha moja tu, "kuburudisha".

Je wanamuziki wa CHADEMA ambao hawaisapoti Serikali mfano Ney wa Mitego na Roma au Rosa Lee je wamefanikiwa kimapato kwa kiasi gani??

Wasituzingue
 
kazi ipo 🤣
 
Back
Top Bottom