Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
NRNEtupe za kwako
NRNEtupe za kwako
🤣 🤣 mshakata motoNRNE
ushakata moto uchaguzi unafanyika na amna mnachoweza kufanyaNo reform No election 🇹🇿
Kaa kwa kutuliaaa..🤣 🤣 mshakata moto
pumzi ishaisha 🤣 🤣 🤣Kaa kwa kutuliaaa..
Bado sanaaapumzi ishaisha 🤣 🤣 🤣
Kwa hiyo unadhani izo account zote ziko active?Kwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
View attachment 3362509 endelea.....
View attachment 3362510
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya siasa. Kupungua kwa 0.17% ni haba kuleta mabadiliko ambayo Mange Kimambi na wanaharakati wenzie walikuwa wanayataka.
Sawa na kuwambia kuwa eti wanajadili Yanga na Simba kuanzia asubuhi, hivyo eti hawajutambui. Ukweli ni kwamba wanajitambua sana ila hawataki kutumika kupitisha agenda za wanasiasa.
Tell him/her...Kwa hiyo unadhani izo account zote ziko active?
We kweli famba kweli. Hapo kuna watu wamekufa, kuna watu wako hospitalini na kuna watu hawatumii tu hizo account.
So hao walio unfollow ndo account ambazo zipo active na zinapush biashara zao.
Ndo ujinga mnaowalisha Watanzania ili muendelee kuzifisadi kodi zao wapuuzi nyie.NI PUNGUANI TU AMBAYE ANADHANI SIASA HAIHUSU MAISHA YAKE!
si matokeo ya kampeni ya unfollow hayo apo yaani mshamaliza nguvu zenu zote mko 20k 🤣 🤣 🤣 🤣Bado sanaaa
Tuendelee kunywa mtorii...tutapata majibu kama nyama zipo au mchuzi mtupu.
naona unajitengenezea furaha 🤣🤣🤣Kwa hiyo unadhani izo account zote ziko active?
We kweli famba kweli. Hapo kuna watu wamekufa, kuna watu wako hospitalini na kuna watu hawatumii tu hizo account.
So hao walio unfollow ndo account ambazo zipo active na zinapush biashara zao.
Kwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
View attachment 3362509 endelea.....
View attachment 3362510
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya siasa. Kupungua kwa 0.17% ni haba kuleta mabadiliko ambayo Mange Kimambi na wanaharakati wenzie walikuwa wanayataka.
Sawa na kuwambia kuwa eti wanajadili Yanga na Simba kuanzia asubuhi, hivyo eti hawajutambui. Ukweli ni kwamba wanajitambua sana ila hawataki kutumika kupitisha agenda za wanasiasacha
Nyie ndo mnajitengeneza furaha tena za uongo kujiliwazanaona unajitengenezea furaha 🤣🤣🤣
Wewe kumbe mwe..huKwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
View attachment 3362509 endelea.....
View attachment 3362510
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya siasa. Kupungua kwa 0.17% ni haba kuleta mabadiliko ambayo Mange Kimambi na wanaharakati wenzie walikuwa wanayataka.
Sawa na kuwambia kuwa eti wanajadili Yanga na Simba kuanzia asubuhi, hivyo eti hawajutambui. Ukweli ni kwamba wanajitambua sana ila hawataki kutumika kupitisha agenda za wanasiasa.
Acha uongo mange hakusema watu wa unfollow mtuKwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
View attachment 3362509 endelea.....
View attachment 3362510
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya siasa. Kupungua kwa 0.17% ni haba kuleta mabadiliko ambayo Mange Kimambi na wanaharakati wenzie walikuwa wanayataka.
Sawa na kuwambia kuwa eti wanajadili Yanga na Simba kuanzia asubuhi, hivyo eti hawajutambui. Ukweli ni kwamba wanajitambua sana ila hawataki kutumika kupitisha agenda za wanasiasa.
Kuandika tu ni shida, toa ujinga wako hapa!ndo utafute
Numbers don't lie, na siku zote inapoanza kampeni zile siku 3 za kwanza ndiyo zinaleta impact. Zikishafika siku 5 na kuendelea wale washiriki wanapata fatigue, then maisha yanarudi normalBado kwani unataka siku moja
Rudi memkwa ukajifunze irabu na silabi. Hujui neno la kukanusha wala la kukubaliushakata moto uchaguzi unafanyika na amna mnachoweza kufanya