Umeshamaliza kumtumikia mwarabu? Au umeona umejificha?Kaa kwa kutuliaaa..
Umeshamaliza kumtumikia mwarabu? Au umeona umejificha?Kaa kwa kutuliaaa..
dolla hahahaela ni nini mkuu?
Mimi na wewe nani anatumika?Umeshamaliza kumtumikia mwarabu? Au umeona umejificha?
Ninatafuta namna ya ku analyse impact ya hii No Reforms No Elections, nikiwa tayari nitaileta humu tuichakate cc Mshana Jr , Lord Denning , Bush Dokta , Tate Mkuu , Kalamu , ChoiceVariable , Mbaga JrNo Reforms No Elections
Usisahau kunitag ukileta hio analysisNinatafuta namna ya ku analyse impact ya hii No Reforms No Elections, nikiwa tayari nitaileta humu tuichakate cc Mshana Jr , Lord Denning , Bush Dokta , Tate Mkuu , Kalamu , ChoiceVariable , Mbaga Jr
www.hootsuite.com, tafiti hupingwa kwa tafiti. Njoo na za kwakoTakwimu za mchongo hizo
Wacha kujifanya hamnazo.Uarabuni upo unatumikia waarabu.Nchi hii wa kuipambania ni wewe?Mimi na wewe nani anatumika?
Me naipambania nchi yangu
Ongeza ku-UNFOLLOW hao watu maarufu ila hauwezi kuleta IMPACT yeyote maana mko wachache sana.Kwahiyo unatakaje....???
Tukaongeze unfollow au??
Mkuu kalete za kwako kama unazipinga hizi. Ila kwa wale ambao wamesoma KIDATO kuna topic ya makadirio au ku round kwenye nearest whole number. Sasa sijui kama umenielewa maana nimechanganya na lugha ya malkia ikuyokuja kwa meliTakwimu ya mchongo..kwa hiyo hakuna figures za ziada mfano 38769 badala yake ni 30000 tu???
Takwimu chonganishi na za uongo
NrNe
Hiyo ni kazi kubwa sana mkuu 'Stuxnet'. Itawezekana kweli?Ninatafuta namna ya ku analyse impact ya hii No Reforms No Elections, nikiwa tayari nitaileta humu tuichakate cc Mshana Jr , Lord Denning , Bush Dokta , Tate Mkuu , Kalamu , ChoiceVariable , Mbaga Jr