EEEEeenHEEEEE!Absolutely 💯 💯. Tundu amewapoteza sana
ALaaa; kumbe tayari unayo majibu?
Umeniangusha sana mkuu Stuxnet!
EEEEeenHEEEEE!Absolutely 💯 💯. Tundu amewapoteza sana
Mbona sikukuona Kisutu kuja kusikiliza kesi ya Tundu?? Watu wanapigwa virungu, nyie mmekaa tu sebuleni kwenu mnaangalia kwa TV. Watoto wa watu wanapigwa virungu. Kazi yenu kuandika hasgtag tu #FreeSomebodyNI PUNGUANI TU AMBAYE ANADHANI SIASA HAIHUSU MAISHA YAKE!
Ukweli ndio huu. Hatimae umeutoa nje.Mkizidisha ujuwaji na msipo omba ushauri kwa wazee, chama kutakuwa DEREGISTERED
Je uneelewa maana ya post hii. Soma kwa kuelewa halafu kunywa maji ndiyo uje ujaribu kujibuKwa hiyo unadhani izo account zote ziko active?
We kweli famba kweli. Hapo kuna watu wamekufa, kuna watu wako hospitalini na kuna watu hawatumii tu hizo account.
So hao walio unfollow ndo account ambazo zipo active na zinapush biashara zao.
Basi Bhwana.Mbona sikukuona Kisutu kuja kusikiliza kesi ya Tundu?? Watu wanapigwa virungu, nyie mmekaa tu sebuleni kwenu mnaangalia kwa TV. Watoto wa watu wanapigwa virungu. Kazi yenu kuandika hasgtag tu #FreeSomebody
Alianza na hiyo, mimi nimefanya analysis tu. Great una admit ila kuna wanaosema kukinukisha tu kwenye hizo akaunti kwa kuandika NO REFORMS NO ELECTIONS. All in all natafuta tool ya AI kutathmini impact ya hiyo pia, nitaileta hapa na kuku tagKwanza Mange hakuwaambia wawaunfollow, alisema kuwa kwa experience yake unfollowing haifanyi kazi bongo maana baada ya muda mchache wanafollow tena. Mange alichowashauri ni watu kukinukisha katika page zao basi
Nilipojibu huko juu, nilijibu kwa kuitikia mwito kwangu kama ulivyokuwa umeniita. Sikuwa nimesoma mada yenyewe ulivyo ianzisha hapa.Kwa kutumia Hootsuite Analytics (www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
View attachment 3362509 endelea.....
View attachment 3362510
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya siasa. Kupungua kwa 0.17% ni haba kuleta mabadiliko ambayo Mange Kimambi na wanaharakati wenzie walikuwa wanayataka.
Sawa na kuwambia kuwa eti wanajadili Yanga na Simba kuanzia asubuhi, hivyo eti hawajutambui. Ukweli ni kwamba wanajitambua sana ila hawataki kutumika kupitisha agenda za wanasiasa.
Missile of the Nation njoo umsome huyu anasema amekwisha UNFOLLOW ma stars kibao. Hii inathubitisha ilikuwa ndiyo goal ya kwanza, thereafter Mange akahamisha goliNmeshaunfollow mastaa mbuzi kibao
endelea kufanya kazi ya uhaririRudi memkwa ukajifunze irabu na silabi. Hujui neno la kukanusha wala la kukubali
unakaribia kupewa kitengo kama mod endelea kuhaririKuandika tu ni shida, toa ujinga wako hapa!
kwa rekodi za TCRA watu mil 6 wanatumia mitandao ya kijamiii, unfollow kwa ujumla mmejiunganisha nguvu mkalipia watu wacomment ni watu 20k tu wameunfollow sasa nicheke kwanza 🤣 🤣 🤣Nyie ndo mnajitengeneza furaha tena za uongo kujiliwaza
Tangu lini!?Ninatafuta namna ya ku analyse impact ya hii No Reforms No Elections, nikiwa tayari nitaileta humu tuichakate cc Mshana Jr , Lord Denning , Bush Dokta , Tate Mkuu , Kalamu , ChoiceVariable , Mbaga Jr