Kwa kutumia Hootsuite Analytics (
www.hootsuite.com), takwimu halisi za mabadiliko ya wafuasi (followers) kati ya tarehe 31 Mei 2025 na 09 Juni 2025 kwa wasanii maarufu 5 zimechanganuliwa kama ifuatavyo:-
View attachment 3362509 endelea.....
View attachment 3362510
Mytake:
Siyo rahisi kwa Watanzania kuacha starehe zao kwa ajili ya mambo ya siasa. Kupungua kwa 0.17% ni haba kuleta mabadiliko ambayo Mange Kimambi na wanaharakati wenzie walikuwa wanayataka.
Sawa na kuwambia kuwa eti wanajadili Yanga na Simba kuanzia asubuhi, hivyo eti hawajutambui. Ukweli ni kwamba wanajitambua sana ila hawataki kutumika kupitisha agenda za wanasiasa.