General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
- Thread starter
-
- #101
Kwanini umtusi Rais?labda aje,topics zote za kumkebehi au kumtusi ziwe zinafutwa,
Alafu watu eti wanamuita Sizonje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ili mumuandikie haya mnayoandikaga humu yasiyo na heshima na maneno machafu juu yake.
Mnataka JF ifungiwe kwenye mengi au!?
Jibadilisheni kwanza.... ndio mumuombe
Ila yeye kuwa msomaji ni vizuri tu, tabu wengi mnaandika upupwu juu yake hadi hawezi kuitaja forum hii.
Alimuita Mpoto, na yeye akakubaliAlafu watu eti wanamuita Sizonje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Very nice! Condition iwe hiyo! Kutakuwa na heshima humu. Mleta uzi, wewe ni verified??Ameniambia kuwa anaweza kujiunga tu pale sisi sote tutakapokuwa verified member/tuwe na majina yetu halisi.
Je tuko tayari?
Wewe ni verified humu?Mbona Twitter watu wapo huru anapo post chochote?
Tuache uoga
mmmmmhWewe ni verified humu?
Mimi pia sijisikiagi vizuri nikikutana na mdada/mmama kavaa hijab/ burkha barabarani ananiongelesha, kajificha sijui naongea na nani hivyo same to mr. President na uzi wako huu!!
Kwanini umtusi Rais?
mimi sina impact humu!!Wewe ni verified humu?
Mimi pia sijisikiagi vizuri nikikutana na mdada/mmama kavaa hijab/ burkha barabarani ananiongelesha, kajificha sijui naongea na nani hivyo same to mr. President na uzi wako huu!!
Ebu jiweke kwenye viatu vyake, unaongea na strangers wamevaa mask, hujui hata uraia wao na hujui hata kama wapo 100 au wapo 10 sababu ya multiple IDs.mimi sina impact humu!!
Ili mumuandikie haya mnayoandikaga humu yasiyo na heshima na maneno machafu juu yake.
Mnataka JF ifungiwe kwenye mengi au!?
Jibadilisheni kwanza.... ndio mumuombe
Ila yeye kuwa msomaji ni vizuri tu, tabu wengi mnaandika upupwu juu yake hadi hawezi kuitaja forum hii.
Hii picha yake ukimwangalia machoni unaweza kuandika kitabu abort likasome..
Katika watu wanaoandika utumbo na shudu humu, wewe mmoja wapoIli mumuandikie haya mnayoandikaga humu yasiyo na heshima na maneno machafu juu yake.
Mnataka JF ifungiwe kwenye mengi au!?
Jibadilisheni kwanza.... ndio mumuombe
Ila yeye kuwa msomaji ni vizuri tu, tabu wengi mnaandika upupwu juu yake hadi hawezi kuitaja forum hii.
We mwenyewe mbona huwa una andika upupwi [emoji52]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yumo humu si ndio anajiitaga Raimundo
Ha ha ha haaaaaa
Sikushangai kwa kuandika hayo
Jipige na vibao vya usoni eeeeh