Kampeni ya Kumshawishi Rais Magufuli Ajiunge JF

Kampeni ya Kumshawishi Rais Magufuli Ajiunge JF

Hili ni wazo zuri lakini ingekuwa vizur kama angeomba yey mwenyew
 
YUPO, umu, sema anasubri uchaguzi wa mwaka 2020 ndo atuombe kura sasa hivi anatunyosha kwanza, tunyoshe baba mjini mmebakia wasukuma tu wengine tumeamia kwenu chato uku tunalima ngosha!
 
Mtammaliza kwa presha maana yule mda wote anataka asikie anasifiwa tu
 
Mtu mwenye uwezo mkubwa wa kukariri, kusoma na kuweka kumbukumbu kama JPM hawezi kukosa humu ninachotamani ni yeye kuingia kwa jina lake halisi na akaanzisha uzi wa :KATIKA UTAWALA WA AWAMU HII NINI UNGEPENDA NIFANYE, hapa angepata mawazo sahihi yasiyo ya woga
Sahihi.
 
labda aje,topics zote za kumkebehi au kumtusi ziwe zinafutwa,
 
Nashauri aendelee hivyo hivyo id feki kama kweli anayo! Cha msingi anasoma yanayojiri humu.. Akiwa na id verified kuna uhuru humu utapotea, hata mods watakuwa wanafutafuta threads na kurekebisha rekebisha, hii itakuwa inaondoa uoriginal wa michango ya wana jf.
 
Mbona Twitter watu wapo huru anapo post chochote?
Tuache uoga
 
Back
Top Bottom