Kampeni ya Kumshawishi Rais Magufuli Ajiunge JF

Kampeni ya Kumshawishi Rais Magufuli Ajiunge JF

Ili mumuandikie haya mnayoandikaga humu yasiyo na heshima na maneno machafu juu yake.

Mnataka JF ifungiwe kwenye mengi au!?

Jibadilisheni kwanza.... ndio mumuombe

Ila yeye kuwa msomaji ni vizuri tu, tabu wengi mnaandika upupwu juu yake hadi hawezi kuitaja forum hii.
Alafu watu eti wanamuita Sizonje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ameniambia kuwa anaweza kujiunga tu pale sisi sote tutakapokuwa verified member/tuwe na majina yetu halisi.
Je tuko tayari?
Very nice! Condition iwe hiyo! Kutakuwa na heshima humu. Mleta uzi, wewe ni verified??
 
Mbona Twitter watu wapo huru anapo post chochote?
Tuache uoga
Wewe ni verified humu?
Mimi pia sijisikiagi vizuri nikikutana na mdada/mmama kavaa hijab/ burkha barabarani ananiongelesha, kajificha sijui naongea na nani hivyo same to mr. President na uzi wako huu!!
 
Ili mumuandikie haya mnayoandikaga humu yasiyo na heshima na maneno machafu juu yake.

Mnataka JF ifungiwe kwenye mengi au!?

Jibadilisheni kwanza.... ndio mumuombe

Ila yeye kuwa msomaji ni vizuri tu, tabu wengi mnaandika upupwu juu yake hadi hawezi kuitaja forum hii.

We mwenyewe mbona huwa una andika upupwi [emoji52]
 
Ili mumuandikie haya mnayoandikaga humu yasiyo na heshima na maneno machafu juu yake.

Mnataka JF ifungiwe kwenye mengi au!?

Jibadilisheni kwanza.... ndio mumuombe

Ila yeye kuwa msomaji ni vizuri tu, tabu wengi mnaandika upupwu juu yake hadi hawezi kuitaja forum hii.
Katika watu wanaoandika utumbo na shudu humu, wewe mmoja wapo
 
Hello mr prezidaa,najua utapita hapa,give my regards to the wife and the kids,punguza jazba kidogo mzee baba
 
Akijiunga rasmi baada ya wiki utasikia kesi "JF ni mtandao wa utakatishaji pesa na wahujumu uchumi".
 
Back
Top Bottom