Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #41
Hapa tunaongelea Taasisi ya Kutoa msaada wa kisheria. Mbona naenda nje ya mada ndugu yangu?Mwambie kwanza arudishe ardhi ya wamasai aliyopora kule Loliondo. Jinga kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa tunaongelea Taasisi ya Kutoa msaada wa kisheria. Mbona naenda nje ya mada ndugu yangu?Mwambie kwanza arudishe ardhi ya wamasai aliyopora kule Loliondo. Jinga kabisa!
Mosi kuwa kiongozi wa nchi means ni public figure lazima tumuhoji kwa chochote.Nimekujibu kuwa yeye ndiye kiongozi wa nchi.
Tangu lini rais afanye biashara. Unajua kuwa urais ni taasisi?
Wadau wa Sheria na Haki pamoja na Serikali
Unajua maana na lengo la patent au unatamka tu.
Mbona kuna Mkapa Foundation, Nyerere Foundation nk mbona huzihoji hizo?
Kwani kuanzisha Samia Legal Aid imekuwa nongwa?
Kwani Jina la Samia Legal Aid unataka limilkiwe na nani?
Jibu kwanza hayo maswali ili niweze kueleza zaidi
Ni vyema tukajikita kwenye mada sasa. Maana umehama unaenda nje ya mada.Mosi kuwa kiongozi wa nchi means ni public figure lazima tumuhoji kwa chochote.
Rais kufanya biashara kwa banana republics kama Tanzania ni kawaida maana katiba imempa umungu tulishuhuda hayo kwa Mkapa na mgodi wa Kiwira na Magufuli na Mayanga constructions kwahiyo hili laizma tuhoji tena nani yuko nyuma ya hii agenda.
Issue za patent nazijua vizuri ndio maana nimeandika sijakurupuka tu , hasa pale ukitokea mgongano wa kimsalahi mfano Abdul na kampuni zake ikiingia mgogoro utasuluhishwa vipi?
Hao wadau wa kisheria ni akina nani wapi ninaweza kuwaona ikiwemo hao mawakili wabobezi.
Issue ya financial support kuijua ni muhimu Magufuli alikuwa anagawa pesa barabarani tulpohoji zinatoka wapi au ni mshahara wake tukaambiwa ni mfuko amabao CAG haukugaui je hii inakuwaje sawa pesa za walipa kodi zinapotapanywa na hakuna pa kuhoji , Samia ananunua magoli milioni 10 huku watu wanajifungulia chini na wenine kukosa 150k ya upasuaji je fedha hizo ni mshahara wake au inikodi za wananchi ili ajitafutie political mileage kwa kusema alianzisha Samia legal aid??
Pole sana wakurudi shule ni wewe.Ni vyema tukajikita kwenye mada sasa. Maana umehama unaenda nje ya mada.
Halafu, hujui hata tofauti ya Copyright na Patent. Nenda shule kwanza ukajifunze ndio uje.
Ni vyema tukajikita kwenye mada sasa. Maana umehama unaenda nje ya mada.
Halafu, hujui hata tofauti ya Copyright na Patent. Nenda shule kwanza ukajifunze ndio uje.
NImekuuliza unajua tofauti ya copyright na patent? Jibu swali acha kuruka ruka.Pole sana wakurudi shule ni wewe.
That's a freshly minted Samia sponsored project to hoodwink and subvert public legal environment for her easy on the pocketbook political gains .
I'm not on board.
Copyright inalenga kutunza dhima kuu na lengo la mmiliki.NImekuuliza unajua tofauti ya copyright na patent? Jibu swali acha kuruka ruka.
Hujui chochote kuhusu patent. Je ni taasisi ipi hapa Tanzania inasajili patent?Copyright inalenga kutunza dhima kuu na lengo la mmiliki.
Na patent inazuia kudurufu au kuja na wazo mfanano kama la mlengwa
Ndio maaana nimetumia patent na sio copyright sababu atakayekuja na wazo kama hili mfanano ambalo ni la kujitwalia sifa kisiasa atazuiliwa tu hakuna atakayeruhusiwa kuanzisha legal aid yoyote kwa kivuli kama hicho .
By the way hao mawakili wabobezi ndio kina Pascal sio?
Unaweza kujibu sasa yale maswali yangu 4 chawa wa Samia?
Nimejibu maswali yako yote meanwhile hujajibu maswali yangu 4 niliyouliza umenipa abstractions. unatarajia niendelee kudebate na wewe?Hujui chochote kuhusu patent. Je ni taasisi ipi hapa Tanzania inasajili patent?
Tunajua Copyright inajulikana zinasajiliwa wapi.
Yep. Bado niko kwenye mada. Taasisi imekaa kipigaji pigaji kwani mwenye jina la taasisi ni mporaji wa ardhi. Anzeni kumshughulikia yeye kama taasisi ina tofauti na yeye.Hapa tunaongelea Taasisi ya Kutoa msaada wa kisheria. Mbona naenda nje ya mada ndugu yangu?
Kwa hiyo hii ni kama NG’o ya Mama Samia?Siyo. Lengo kuu la Campain hii ni:-
Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia
(Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa njia mbadala, na masuala yahusuyo haki za binadamu kwa ujumla.
Kwa kuwa wewe ni huna uwezo.Nimejibu maswali yako yote meanwhile hujajibu maswali yangu 4 niliyouliza umenipa abstractions. unatarajia niendelee kudebate na wewe?
Siwezi kuendelea kupoteza muda wangu hapa.
Asiye na uwezo ni huyo mama yenu aliyescore 0 kidato cha nne na nyie wapambe wake mnaolipwa peanuts kuuza agenda zake.Kwa kuwa wewe ni huna uwezo.
Wewe uli score ngapi vile?Asiye na uwezo ni huyo mama yenu aliyescore 0 kidato cha nne na nyie wapambe wake mnaolipwa peanuts kuuza agenda zake.
Ndio maana anaponea kwenye honorary accolades na media stunts.
Nikiwa kama mjumbe hai wa NABP katika nchi yenye uchumi mkubwa duniani haiwezekani nikawa ni mtu wa masufuri au kubebwa kama hao vilaza mlionao huko.Wewe uli score ngapi vile?
Wewe ni mbumbumbu. Comments zako zinajieleza. Intelligent people hawakimbii discussionNikiwa kama mjumbe hai wa NABP katika nchi yenye uchumi mkubwa duniani haiwezekani nikawa ni mtu wa masufuri au kubebwa kama hao vilaza mlionao huko.
Hii ndio reply yangu ya mwisho then unaelekea ignore list.
Apeleke kwa WANAOTEKWA ,WANAOULIWA NA POLISI familia zaoKAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NI NINI?
Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia
(Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa njia mbadala, na masuala yahusuyo haki za binadamu kwa ujumla.
#MSLAC ni mchakato wa kupata ushauri au msaada kutoka kwa wataalamu wa sheria ili kutatua masuala ya kisheria au kupata ufafanuzi kuhusu haki na wajibu wa mtu. Kampeni Hii inajumuisha mambo kama vile ushauri wa kisheria, msaada wa kisheria au uwakilishi wa kisheria katika mahakama.
View attachment 2867082
![]()
MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN
KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NI NINI? Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) im...mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com