Kampeni ya Michango ya Tone Tone yatia fora Bukoba, Hela zahesabiwa hadi usiku mwingi, Mzigo wa kutosha wapatikana

Kampeni ya Michango ya Tone Tone yatia fora Bukoba, Hela zahesabiwa hadi usiku mwingi, Mzigo wa kutosha wapatikana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hii ndio Taarifa mpya kutokea Bukoba Mjini, unaambiwa watu wameuza Mikungu ya Ndizi ili kuchangia Tonetone ya Chadema.

Habari zinaeleza kwamba imebidi waitwe Wahasibu wa dharula kuhesabu fedha za michango hiyo, kiukweli hii ni rekodi

Screenshot_2025-05-09-22-09-25-1.png
Screenshot_2025-05-09-22-09-37-1.png

Pichani ni hela za kikapu cha kwanza tu, huku taarifa zikionyesha kwamba kulikuwa na vikapu zaidi ya 100, hii ni balaa
 
Haha kuna jamaa nasema mmepata laki 6

Endeleeni na bakuli huku wajanja wakizitafuna
 
Unaambiwa wahasibu walichoka kuhesabu, ikabidi watu wa TRA waitwe kutoka makao makuu ili waje kuokoa jahazi mana pesa zilikuwa nyingi kwenye maboksi na mpaka sasa hawajamaliza kuhesabu buku buku tuu kama picha inavyoonekana kuachilia mbali pesa zingine kwenye maboksi 🔥

Kweli wanatanganyika wameamua kusimama na chadema.
 
Shida sio buku buku, wengine wanatoa bukubila ina thamani sababu mfukoni alikuwa na buku jero, sasa hizo kwa makadirio ni watu wachache mnoo, inaonekana kama hapo ndio mwisho, bora ungepiga picha ya hivyo vikapu 100 kidogo tukapata moyo kweli watu wameichoka CCM.
 
Akiweka hy picha ya vikapu 100 siku ya leo itabadilika kutoka Ijumaa kwenda Jumatatu
 
Unaambiwa wahasibu walichoka kuhesabu, ikabidi watu wa TRA waitwe kutoka makao makuu ili waje kuokoa jahazi mana pesa zilikuwa nyingi kwenye maboksi na mpaka sasa hawajamaliza kuhesabu buku buku tuu kama picha inavyoonekana kuachilia mbali pesa zingine kwenye maboksi 🔥

Kweli wanatanganyika wameamua kusimama na chadema.
Mwanachi maskin ambay anaishi chini ya dola moja ameweza Toa buku yake Kwa tone tone Kwa Moyo mkunjufu Basi Hakika huu NI ushindi Kwa CDM na TL
 
Hakika hayo ni maajabu ya dunia, haijawahi kutokea wananchi kuchanga kiasi kikubwa hvy cha pesa 🔥historia ya kidunia imeandikwa
 
Back
Top Bottom