Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,977
Aseee naona chadema wanahesabu vitita vya hela kutoka bukoba😄😄😄😄😄*****
We nae una siasa za kizamani😂Hii ndio Taarifa mpya kutokea Bukoba Mjini, unaambiwa watu wameuza Mikungu ya Ndizi ili kuchangia Tonetone ya Chadema.
Habari zinaeleza kwamba imebidi waitwe Wahasibu wa dharula kuhesabu fedha za michango hiyo, kiukweli hii ni rekodi
View attachment 3329190View attachment 3329191
Pichani ni hela za kikapu cha kwanza tu, huku taarifa zikionyesha kwamba kulikuwa na vikapu zaidi ya 100, hii ni balaa
Za sasa ni hizi za kuteka wakina Mdude?We nae una siasa za kizamani😂
Sio Kila jambo lazima ulifanyie propaganda bana .
Thread zako huwa zinanifurahisha sanaaHabari zinaeleza kwamba imebidi waitwe Wahasibu wa dharula kuhesabu fedha za michango hiyo, kiukweli hii ni rekodi