milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
CCM nasi tunakubaliana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Must Go!!!!!!!!Nimeomba ajira serikalini nimekosa
Nimefungua genge limebomolewa na mamlaka ya jiji
Nimefungua duka TRA wamenifilisi
Nimeamua kuanzisha biashara kuagiza mizigo China, TRA na bandari zimenifilisi
Nimekimbilia kilimo naambiwa mbolea hauwezi kupata bila kadi na masoko hakuna
Nakatiza mitaani kusaka kibarua natekwa nateswa kisa siungi mkono CCM
Samia hata akiondoka madarakani leo bado vitendo vya utekaji na Mauaji bado vitaendelea kutokea hapa Tanzania. Tatizo siyo Samia Kama ambavyo CHADEMA wanavyodhani.Kwa Mtanzania mzalendo anayeipenda nchi yake, wala haihitaji akili nyingi wala 'D' mbili kuweza kutambua jinsi nchi ilivyorudi nyuma tangu awamu hii iingie madarakani. Tukiacha suala lililopo mezani la utekaji na mauaji makubwa ya kutisha linalopelekea raia na watanzania kuishi kwa hofu na kikosa amani, Hali ya maisha kwa watanzania kiujumla imekuwa ngumu mno! Huku serikali ikionekana kukosa nipamgo madhubuti kusaidia watanzania. Kila mtanzania analia ugumu wa maisha. ajira zimekuwa ngumu, vitu vimepanda bei, huduma za afya zimekosa muelekeo huku tukishuhudia bima muhimu za afya zikiondolewa.
Haya yote yanafanyika huku tukimshuhudia kiongozi mkuu wa nchi akizurura huku na huko na kutegemea mikopo na hisani za mataifa yanayokuja na masharti mabaya kwa taifa! Hakuna mikakati na mipango mingine inayoonekana katika kusaidia watanzania kijikwamua na umasikini, maradhi na ujinga huku uwezo wa kiongozi mkuu wa serikali ukijidhihirisha kuwa mdogo na viatu kumpwaya!
Kwa hayo machache nadhani 'SAMIA MUST GO' inapaswa kuwa wimbo wa kila Mtanzania mzalendo anayeipenda nchi yake.
Acheni kuleta vichekesho vya kihainisisi tuko tayari ,je Lucas Mwashambwa atakubali??
Umeandika takatakaKwa Mtanzania mzalendo anayeipenda nchi yake, wala haihitaji akili nyingi wala 'D' mbili kuweza kutambua jinsi nchi ilivyorudi nyuma tangu awamu hii iingie madarakani. Tukiacha suala lililopo mezani la utekaji na mauaji makubwa ya kutisha linalopelekea raia na watanzania kuishi kwa hofu na kikosa amani, Hali ya maisha kwa watanzania kiujumla imekuwa ngumu mno! Huku serikali ikionekana kukosa nipamgo madhubuti kusaidia watanzania. Kila mtanzania analia ugumu wa maisha. ajira zimekuwa ngumu, vitu vimepanda bei, huduma za afya zimekosa muelekeo huku tukishuhudia bima muhimu za afya zikiondolewa.
Haya yote yanafanyika huku tukimshuhudia kiongozi mkuu wa nchi akizurura huku na huko na kutegemea mikopo na hisani za mataifa yanayokuja na masharti mabaya kwa taifa! Hakuna mikakati na mipango mingine inayoonekana katika kusaidia watanzania kijikwamua na umasikini, maradhi na ujinga huku uwezo wa kiongozi mkuu wa serikali ukijidhihirisha kuwa mdogo na viatu kumpwaya!
Kwa hayo machache nadhani 'SAMIA MUST GO' inapaswa kuwa wimbo wa kila Mtanzania mzalendo anayeipenda nchi yake.
Huna akili jo wewe endelea na zile post zako za umbea na Majungu ndio saizi yakoWaambie Viongozi wako hapo Mikocheni warejeshe familia zao Tanzania kisha ndio muanze hiyo movement
Kuwaweka mbele Watoto wa wenzenu akina Kandanda ni Upumbavu uliopitiliza!
Maandamano ya kumlazimisha Samia aachie office hayawezi yakawa ya amani hayo, Samia katimiza wajibu wake ipasavyo hana sababu za msingi za kuachia ngazi, haya nambie nini kitatokea hapo, chadema mnataka atoke, Samia hataki...Ni maandamano ya AMANI.
..Samia ameshindwa kuongoza vyombo vya dola na kuruhusu utekaji na mauaji.
..kiongozi wa namna hiyo hafai.
Halafu ni ka wimbo kazuri kweli! 🙂Kwa Mtanzania mzalendo anayeipenda nchi yake, wala haihitaji akili nyingi wala 'D' mbili kuweza kutambua jinsi nchi ilivyorudi nyuma tangu awamu hii iingie madarakani. Tukiacha suala lililopo mezani la utekaji na mauaji makubwa ya kutisha linalopelekea raia na watanzania kuishi kwa hofu na kikosa amani, Hali ya maisha kwa watanzania kiujumla imekuwa ngumu mno! Huku serikali ikionekana kukosa nipamgo madhubuti kusaidia watanzania. Kila mtanzania analia ugumu wa maisha. ajira zimekuwa ngumu, vitu vimepanda bei, huduma za afya zimekosa muelekeo huku tukishuhudia bima muhimu za afya zikiondolewa.
Haya yote yanafanyika huku tukimshuhudia kiongozi mkuu wa nchi akizurura huku na huko na kutegemea mikopo na hisani za mataifa yanayokuja na masharti mabaya kwa taifa! Hakuna mikakati na mipango mingine inayoonekana katika kusaidia watanzania kijikwamua na umasikini, maradhi na ujinga huku uwezo wa kiongozi mkuu wa serikali ukijidhihirisha kuwa mdogo na viatu kumpwaya!
Kwa hayo machache nadhani 'SAMIA MUST GO' inapaswa kuwa wimbo wa kila Mtanzania mzalendo anayeipenda nchi yake.
KizimMust go where ?
Maandamano ya kumlazimisha Samia aachie office hayawezi yakawa ya amani hayo, Samia katimiza wajibu wake ipasavyo hana sababu za msingi za kuachia ngazi, haya nambie nini kitatokea hapo, chadema mnataka atoke, Samia hataki.

Hili litapita na acheni upesi ajenda ya kumchafua mama wazandiki wakubwa..Kwa Mtanzania mzalendo anayeipenda nchi yake, wala haihitaji akili nyingi wala 'D' mbili kuweza kutambua jinsi nchi ilivyorudi nyuma tangu awamu hii iingie madarakani. Tukiacha suala lililopo mezani la utekaji na mauaji makubwa ya kutisha linalopelekea raia na watanzania kuishi kwa hofu na kikosa amani, Hali ya maisha kwa watanzania kiujumla imekuwa ngumu mno! Huku serikali ikionekana kukosa nipamgo madhubuti kusaidia watanzania. Kila mtanzania analia ugumu wa maisha. ajira zimekuwa ngumu, vitu vimepanda bei, huduma za afya zimekosa muelekeo huku tukishuhudia bima muhimu za afya zikiondolewa.
Haya yote yanafanyika huku tukimshuhudia kiongozi mkuu wa nchi akizurura huku na huko na kutegemea mikopo na hisani za mataifa yanayokuja na masharti mabaya kwa taifa! Hakuna mikakati na mipango mingine inayoonekana katika kusaidia watanzania kijikwamua na umasikini, maradhi na ujinga huku uwezo wa kiongozi mkuu wa serikali ukijidhihirisha kuwa mdogo na viatu kumpwaya!
Kwa hayo machache nadhani 'SAMIA MUST GO' inapaswa kuwa wimbo wa kila Mtanzania mzalendo anayeipenda nchi yake.
Chadema mnataka atoke ni sababu mnataka machafuko full stop, Samia kalaani vitendo vya utekaji na tayari keshavielekeza vyombo vya usalama vifanye uchunguzi mauaji ya kada wenu, Sasa jitihada zote hizo lkn bado mnataka kuandamana, kiufupi mbowe anatamani machafuko na kamwe matamanio yake hayawezi kutimia..Jiulize kwanini Chadema wanataka Samia atoke.
..halafu muelekeze au mshauri Samia akifanyie kazi.
..Samia anapaswa kukomesha utekaji na mauaji dhidi ya wanachama wa Chadema.
..badala ya kwenda kwenye MATAMASHA angeshughulikia shida iliyojitokeza kwa kuchukua hatua za haraka.
..Mjumbe wa Kamati Kuu ameuawa, viongozi wa mkoa wametekwa, kwanini mnashangaa Chadema kuwa na hasira, au jazba?