Chadema mnataka atoke ni sababu mnataka machafuko full stop, Samia kalaani vitendo vya utekaji na tayari keshavielekeza vyombo vya usalama vifanye uchunguzi mauaji ya kada wenu, Sasa jitihada zote hizo lkn bado mnataka kuandamana, kiufupi mbowe anatamani machafuko na kamwe matamanio yake hayawezi kutimia
..huu ni muda wa kuchukua hatua. Kutuma ujumbe wa kulaani kila mtu anaweza.
..wananchi wanataka kumuona Raisi akionyesha uongozi na uwajibikaji. Wamechoshwa na matukio ya ki*shenzi yanayofanywa na vyombo vya dola.
..Na Raisi asiyeweza kuviongoza na kusimamia nidhamu ya vyombo vya dola ni mtu hatari kwa nchi yake.
..Unaweza kudhani Chadema ni watu hatari, lakini nakuhakikishia Samia ni hatari zaidi, kutokana na uzembe wake ktk kusimamia vyombo vya dola.