Kampeni ya 'SAMIA MUST GO' inapaswa kuungwa mkono na Mtanzania yeyote mzalendo

Must Go!!!!!!!!
 
Samia hata akiondoka madarakani leo bado vitendo vya utekaji na Mauaji bado vitaendelea kutokea hapa Tanzania. Tatizo siyo Samia Kama ambavyo CHADEMA wanavyodhani.

CHADEMA, you have to find your proper enemy and the proper solution for your problems.
 
Sijajua technologia itakayo tumika kumunadi yule bibi 2025.
Mjini na vijinini hawataki kumsikia!
 
Umeandika takataka
 
Waambie Viongozi wako hapo Mikocheni warejeshe familia zao Tanzania kisha ndio muanze hiyo movement

Kuwaweka mbele Watoto wa wenzenu akina Kandanda ni Upumbavu uliopitiliza!
Huna akili jo wewe endelea na zile post zako za umbea na Majungu ndio saizi yako
 
..Ni maandamano ya AMANI.

..Samia ameshindwa kuongoza vyombo vya dola na kuruhusu utekaji na mauaji.

..kiongozi wa namna hiyo hafai.
Maandamano ya kumlazimisha Samia aachie office hayawezi yakawa ya amani hayo, Samia katimiza wajibu wake ipasavyo hana sababu za msingi za kuachia ngazi, haya nambie nini kitatokea hapo, chadema mnataka atoke, Samia hataki.
 
Halafu ni ka wimbo kazuri kweli! 🙂
 
Maandamano ya kumlazimisha Samia aachie office hayawezi yakawa ya amani hayo, Samia katimiza wajibu wake ipasavyo hana sababu za msingi za kuachia ngazi, haya nambie nini kitatokea hapo, chadema mnataka atoke, Samia hataki.

..Jiulize kwanini Chadema wanataka Samia atoke.

..halafu muelekeze au mshauri Samia akifanyie kazi.

..Samia anapaswa kukomesha utekaji na mauaji dhidi ya wanachama wa Chadema.

..badala ya kwenda kwenye MATAMASHA angeshughulikia shida iliyojitokeza kwa kuchukua hatua za haraka.

..Mjumbe wa Kamati Kuu ameuawa, viongozi wa mkoa wametekwa, kwanini mnashangaa Chadema kuwa na hasira, au jazba?
 
Maandamano ya kumlazimisha Samia aachie office hayawezi yakawa ya amani hayo, Samia katimiza wajibu wake ipasavyo hana sababu za msingi za kuachia ngazi, haya nambie nini kitatokea hapo, chadema mnataka atoke, Samia hataki.

..Na maandamano yapo kikatiba.

..Na kuna njia za Samia kuondoka Kikatiba bila kuleta machafuko.

..kama ameshindwa kuthibiti mauaji ni bora aondoke, aje mwenye nia ya dhati.
 
Mfumo mbovu, madaraka makubwa ya watendaji serikalini ni tatizo, mambo ya kesi ya nyani kumpa ngedere.
 
Hili litapita na acheni upesi ajenda ya kumchafua mama wazandiki wakubwa..

Hata akiwekwa mwingine mtaanza lawama '' alikuwepo magufuli akawa mnalalamika "

Alikuwepo JK , MKAWA MNATOA MATUSI NA KEJELI KIBAO
 
Chadema mnataka atoke ni sababu mnataka machafuko full stop, Samia kalaani vitendo vya utekaji na tayari keshavielekeza vyombo vya usalama vifanye uchunguzi mauaji ya kada wenu, Sasa jitihada zote hizo lkn bado mnataka kuandamana, kiufupi mbowe anatamani machafuko na kamwe matamanio yake hayawezi kutimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…