Kampeni ya 'SAMIA MUST GO' inapaswa kuungwa mkono na Mtanzania yeyote mzalendo


..huu ni muda wa kuchukua hatua. Kutuma ujumbe wa kulaani kila mtu anaweza.

..wananchi wanataka kumuona Raisi akionyesha uongozi na uwajibikaji. Wamechoshwa na matukio ya ki*shenzi yanayofanywa na vyombo vya dola.

..Na Raisi asiyeweza kuviongoza na kusimamia nidhamu ya vyombo vya dola ni mtu hatari kwa nchi yake.

..Unaweza kudhani Chadema ni watu hatari, lakini nakuhakikishia Samia ni hatari zaidi, kutokana na uzembe wake ktk kusimamia vyombo vya dola.
 
labda wazalendo wa ubeligiji 🐒
 
Nimepitia sensa 2022, nimegundua kuwa, idadi ya vijana waliopo Tanzania ni zaidi ya 40% ya idadi ya watanzania wote.
Sasa vijana changamkeni mchague Rais mwenye umri wa 45+
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
😂😂 Watanzania bnaa..burudani wanakupa buree kabisaa ..nyie watu mnaongea tu na huyo atakaye kuja hakika mtabweka Tena🥲mrudieni Mungu kihama inakaribia😂😂😂👍achana na siasa utakufaa...kuongea tu na mwanasheria hunaa🙌
 
Kabla ya mwisho wa mwaka huu Kigoma inaingizwa kwenye gridi ya Taifa. Fursa zote zilizopo mkoa huo wa Magharibi zinakwenda kufunguliwa.

Walalamikaji hamuwezi kukosekana, japo gurudumu la maendeleo halisubiri mtu.
 
Mihemko ni tatizo lao hawana uwezo wa kufikiria kwa kina wao wanaamua kwa pupa na ukihoji wanaona ni ujanja kukutukana.
 
Wewe ushauri wako ni upi?
 
Aisee
 
Mtakufa navyo vijiba vya roho.

Sema wewe umerudi nyuma, watu tunaenda na kurudi Dodoma kwa SGR.

Vipi maandamano? Utakuwa mtaa gani?
 
Movement for change passed away
We want them back failed to start
piiipooozzzzz flawed

Hili nalo litapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…