LGE2024 Kampeni ya Usafi Arusha: Makonda aingia mtaani kushiriki usafi kwa kuzoa taka na kudeki barabara

LGE2024 Kampeni ya Usafi Arusha: Makonda aingia mtaani kushiriki usafi kwa kuzoa taka na kudeki barabara

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Sio mbaya..aende na kata kuubwa kabisa ya Muriet hasa pale kwenye mabanda ya nyama za kondoo
 
Makonda na makandokando yake. Kopo tupu hili halishi kusumbua masikio yetu na kelele zake
 
Hilo zoezi la kudeki barabara litafikia mitaa yote ya arusha? Ili niandae buti zangu, maana kwa barabara nyingi za arusha hata mtu akitema mate barabara inakuwa haipitiki tena hadi yakauke.
 
uongozi ni kusema na kutenda ndrugu zangu,
well done RC Makonda 🐒
Hakuna kitu hapo zaidi ya kik
Huo usafi wa zimamoto kesho
Hali inarudi kama kawaida
Wajifunze kwa moshi na iringa
Wamewezaje

Ova
 
Hongera kwake,mikoa mingine nao waige hili...
 
Back
Top Bottom