Mikwara tuatangaza kuanza kupigwa picha za watu wachafu mkoani humo na kutangazwa hadharani.
uongozi ni kusema na kutenda ndrugu zangu,Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atinga mtaani na Kampeni ya Usafi mtaa kwa mtaa, atangaza kuanza kupigwa picha za watu wachafu mkoani humo na kutangazwa hadharani.
View attachment 3162050
View attachment 3162051
Baada ya JPM ni Makonda ana wapenda na kuwajali sana wananchi wake!Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atinga mtaani na Kampeni ya Usafi mtaa kwa mtaa, atangaza kuanza kupigwa picha za watu wachafu mkoani humo na kutangazwa hadharani.
View attachment 3162050
View attachment 3162051
tunasonga mbele na zoezi la maandalizi ya kusafisha upinzani kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kesho Nov 27, kuanzia mapema asubuh sana 🐒
Na wewe tafuta kiki. Wivu wa nini mkuu?Kiki za bei rahisi.
Hakuna kitu hapo zaidi ya kikuongozi ni kusema na kutenda ndrugu zangu,
well done RC Makonda 🐒
Ile ndiyo njia halisi, nadhani b4 2027 kila kitu kitakuwa (smart & clean)Kwani ile ripoti ya miezi sita imeshajadiliwa?
Akhasante sanaIle ndiyo njia halisi, nadhani b4 2027 kila kitu kitakuwa (smart & clean)