Sasa kwa akili ya kawaida unategemea CCM watashinda bila kutumia ubavu , mapanga na mitutu ya bunduki ?Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.
Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.
Kama anasikiliza uongo wa Polepole kuwa atashinda kwa asilimia 80 wanamponza.
Nawashauri CCM wafanye kampeni zimebaki siku chache hata nusu ya mikoa ya Tanzania hajamaliza atapataje 80%, safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.
Kama wananchi hatupo tayari kujitoa ku claim ushindi wetu hakuna msaada wowote utakaoletwaMagufuli ameharibu vitu vingi sana.
Kama Tanzania ingekua ni nchi yenye kuwa na katiba nzuri, Raia wenye mwamko bora wa kisiasa (political will).
Katiba bora na Tume huru ya uchaguzi basi magufuli angekuwa anapumulia mashine.
Lissu alionya kuwa uchaguzi huu utakuwa mgumu sana na pia hataweza kukubali kuibiwa kura hata moja. Hayupo tayari kudhulumiwa haki kwa kigezo kuwa anamuachia Mungu.
Na pia lissu ana connection kubwa na Nyingi nje ya nchi za kuakikisha uchaguzi unaenda kwa haki na amani
Kukosekana kwa katiba nzuri Policeccm Dola na Raia wasio na uelewa wa kisiasa, wapumbavu, wajinga na masikini basi CCM itashinda uchaguzi.
Anaumwa nini ?He is sick, hawezi vurugu za kampeni
Hana wasiwasi JAMANA PRINTERS wameshafanya yaoKwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.
Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.
Kama anasikiliza uongo wa Polepole kuwa atashinda kwa asilimia 80 wanamponza.
Nawashauri CCM wafanye kampeni zimebaki siku chache hata nusu ya mikoa ya Tanzania hajamaliza atapataje 80%, safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.
Ana relax, ajue uchaguzi ni uchaguzi tu chochote kinaweza kutokea wakati wowote.
Anapumzika kwa sababu ndio ushauri aliopewa na daktari, kama anajiamini mwambie apige tena zile "push up" zake uone kama uchaguzi haujaahirishwa.Rais Magufuli hata asipofanya kampeni ushindi ni 98%
Ameifanyia Tanzania makubwa
Endeleeni kumdanganya ila siku ya kulia mlie wote.Rais Magufuli hata asipofanya kampeni ushindi ni 98%
Ameifanyia Tanzania makubwa
Hawawezi kusema wanaogopa kupunguza hizo kura kidogo watakazopata.anaumwa nini ?
Mbona wananchi ambao ni maboss wake hatujulishwi huyu mfanyakazi wetu anaumwa nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais Magufuli ana uhakika wa kushinda 95% sasa anaendelea na kazi za urais kama kawaida na wasaidizi wake wanaendelea na kampeni kama kawaida Mama Samia, Waziri Mkuu Majaliwa, M/Mwenyekiti Bara Mangula na Timu ya Ushindi upande wa Zanzibar wanaendelea na Kampeni kama kawaida. Unafikiri CCM kama Saccos ya Chadema ambayo inamtegemea Msaliti Lissu pekee yake!!? Mtasubiri sana!Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.
Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.
Kama anasikiliza uongo wa Polepole kuwa atashinda kwa asilimia 80 wanamponza.
Nawashauri CCM wafanye kampeni zimebaki siku chache hata nusu ya mikoa ya Tanzania hajamaliza atapataje 80%, safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.
Endeleeni kumdanganya ila siku ya kulia mlie wote.
Ukiona mpinzani wako anasikitika vile unavyoendesha mambo yako hadi kufikia hatua ya kukushauri cha kufanya ili ushinde wewe jua tuu ni ulishamshinda, yaani wewe ni mshindiKwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.
Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.
Kama anasikiliza uongo wa Polepole kuwa atashinda kwa asilimia 80 wanamponza.
Nawashauri CCM wafanye kampeni zimebaki siku chache hata nusu ya mikoa ya Tanzania hajamaliza atapataje 80%, safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.
Hatua zipi sasa? Mbinu pekee iliyobaki ni kuiba kura tu. PeriodMwanzoni kama Mwana CCM niliona kama CCM itashinda kwa zaidi ya 80 lakini kwa sasa jinsi upepo ulivyobadilika inatakiwa CCM tubadili mbinu ya kampeni zetu.
Taarifa ya Ndugu Polepole kuwa CCM itashinda kwa asilimia 85 siyo ya kweli. Hata kwenye Ubunge upepo siyo mzuri. Angalieni kule kwa Sugu, Pareso, Lema, Heche, Matiko, Wenje na Bulaya naona kama mambo yamebadilika sana.
Chukueni hatua za haraka ili uchaguzi huu tushinde kwa kishindo.