Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

Anapumzika kwa sababu ndio ushauri aliopewa na daktari, kama anajiamini mwambie apige tena zile "push up" zake uone kama uchaguzi haujaahirishwa.
Hivi ccm ile chopper waliyokuwa wanai post post mitandaoni wataanza lini kutumia rasmi ?
Au walikuwa tu wanawaiga Chadema, waige na kutotumia mabango basi kama wana ubavu
 
Mwanzoni kama Mwana CCM niliona kama CCM itashinda kwa zaidi ya 80 lakini kwa sasa jinsi upepo ulivyobadilika inatakiwa CCM tubadili mbinu ya kampeni zetu.

Taarifa ya Ndugu Polepole kuwa CCM itashinda kwa asilimia 85 siyo ya kweli. Hata kwenye Ubunge upepo siyo mzuri. Angalieni kule kwa Sugu, Pareso, Lema, Heche, Matiko, Wenje na Bulaya naona kama mambo yamebadilika sana.

Chukueni hatua za haraka ili uchaguzi huu tushinde kwa kishindo.
Huko sahii mkuu,asilimia hizo zatoka wapi?
 
Acha upumbavu wewe kama huna masikio basi hata macho huna utafiti gani umefanya wewe sijui uko dunia gani watu watakucheka ccm hadi sasa ushindi ni asilimia 90 na zaidi watanzania wote wanaelewa hivyo.
 
Mwanzoni kama Mwana CCM niliona kama CCM itashinda kwa zaidi ya 80 lakini kwa sasa jinsi upepo ulivyobadilika inatakiwa CCM tubadili mbinu ya kampeni zetu.

Taarifa ya Ndugu Polepole kuwa CCM itashinda kwa asilimia 85 siyo ya kweli. Hata kwenye Ubunge upepo siyo mzuri. Angalieni kule kwa Sugu, Pareso, Lema, Heche, Matiko, Wenje na Bulaya naona kama mambo yamebadilika sana.

Chukueni hatua za haraka ili uchaguzi huu tushinde kwa kishindo.
CCM itashinda kea kishindo huo ndo ukweli kwa watanzania wote wanaamini hivyo.
 
Mbona kila siku ubora na uboya unazidi kujitenga.

Magufuli anazidi kupata Credit za ushindi kila siku zinavyozidi sogea.

Ombi, Msisusie Huu uchaguzi kama mlivyofanya kwenye serikali za mitaa baada ya kuona mnaenda kuloose.
 
Kukosekana kwa katiba nzuri Policeccm Dola na Raia wasio na uelewa wa kisiasa, wapumbavu, wajinga na masikini basi CCM itashinda uchaguzi.
Hao ndiyo wapiga kura za NDIYO na HAPANA pamoja na kwamba huwathamini ana kuwatii kama binadamu huru.
 
Hata mimi ningepumzika, hakuna upinzani siyo kama 2015, hata foreign media tu hazitangazi chochote na hakuna anayejua hata kama Tanzania kuna uchaguzi mwezi huu hata hapo Kenya tu hawajui, ...
Mainstream media zote zinaonyesha madaraja ila this time mtajua kuwa hamjui
 
Pumbaffff at hii nayo ni hoja au kioja!
Kama mkulima aliyepanda mbegu kipindi cha jua wakati wa mavuno kwa nini asipumzike?
 
Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.

Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.

Kama anasikiliza uongo wa Polepole kuwa atashinda kwa asilimia 80 wanamponza.

Nawashauri CCM wafanye kampeni zimebaki siku chache hata nusu ya mikoa ya Tanzania hajamaliza atapataje 80%, safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.

Ccm wana kura zao hapo Jamana Printers. Hiyo 80% wanayosema ndio hiyo waliyoiagiza tume isiyo huru ya uchaguzi iwatangaze. Wameshavipanga vyombo vya dola ili kuhakikisha wanalinda ushindi haramu.
 
Magufuli ameharibu vitu vingi sana.

Kama Tanzania igekuwa ni nchi yenye kuwa na katiba nzuri, Raia wenye mwamko bora wa kisiasa (political will).
Katiba bora na Tume huru ya uchaguzi basi magufuli angekuwa anapumulia mashine.

Lissu alionya kuwa uchaguzi huu utakuwa mgumu sana na pia hataweza kukubali kuibiwa kura hata moja. Hayupo tayari kudhulumiwa haki kwa kigezo kuwa anamuachia Mungu.

Na pia lissu ana Connection kubwa na Nyingi nje ya nchi za kuakikisha uchaguzi unaenda kwa haki na amani

Kukosekana kwa katiba nzuri Policeccm Dola na Raia wasio na uelewa wa kisiasa, wapumbavu, wajinga na masikini basi CCM itashinda uchaguzi.

Aya ya mwisho inawajumuisha buku 7 bila kuwasahau mawinga wao mahiri akina bia yao na jane lengai.
 
Back
Top Bottom