Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

He is sick and tired, hawezi vurugu za kampeni, ndio maana Waziri Mkuu anavunja sheria za uchaguzi makusudi ili kuokoa jahazi, sheria kwenye kampeni anatakiwa mgombea na mgombea mwenza pekee.
Mtu BINAFSI anaruhusiwa kumshitaki Majaliwa Kasimu Majaliwa (Waziri Mkuu) kwa kukiuka maadili na KANUNI za uchaguzi kwa kamati ya maadili kwa kumfanyia kampeni Mgombea wa URAIS WA CHAMA CHA MAPINDUZI huku akitumia kofia ya UWAZIRI Mkuu?
 
Sasa aende mikoa gani wakati anazomewa. Na wasanii nao wanataka posho.
 
Kwanza, anayejua ratiba ya kampeni ni muhiska mwenyewe, chama chake na NEC (waliotoa ratiba). Halafu wewe unaona imepwaya ni kwa sababu UPINZANI WENYEWE UMEPWAYA. Kwa vile hawana upinzani makini, kama ule wa 2015, ndio maana na wao, CCM, wanalegeza Kamba kwani waswahili wnao msemo kuwa " usijisifu kuwa unajua kukimbia bali msifu AKUKIMBIZAE".
 
Una subwoofer umo kichwani wewe.UPINZANI UMEPWAYA kivipi??
 
Utawala uliofitinika una mwenyekiti lucifer katibu mkuu satan mwenye pembe saba katibu mwenezi jini nyonya damu wapikampeni zitakuwa na heri
 
Hanithi wa akili wewe. Kakojoe ulale.
 
Hawez kuibiwa kula uku hatazipata
 
Magufuli ata akitawala miaka100 fresh tu maana kwa uongozi wake ataejngia baada yake ni kushuka tu kwa uchapakazi, CDM ndo hawana uwezo kabisa wa kutawala
 
Sasa kwa akili ya kawaida unategemea CCM watashinda bila kutumia ubavu , mapanga na mitutu ya bunduki ?

CCM hawakubaliki na kila nwananchi mzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahinkuona mzalendo mhusudu beberu na mashoga, kwa mara ya kwanza nawaona tz vibaraka wanakuwa wazalendo.
Huyo tindu akipata uraisi atakuwa kama mobutu.
 
Sijawahinkuona mzalendo mhusudu beberu na mashoga, kwa mara ya kwanza nawaona tz vibaraka wanakuwa wazalendo.
Huyo tindu akipata uraisi atakuwa kama mobutu.
Ataupata urais chumbani kwake. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.

FUNZO: Ukiwa mnufaika (beneficiary) wa mfumo wowote ule usitumie vibaya hiyo privilege kuwatukana/gandamiza/dharau/piga/onea wengine, Hakuna hali inayodumu milele. You are the next victim, bitch.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…