Wewe Bwege la chadema sikiliza,CCM ina team tatu zilizo kmilika.Mgombea,Mwenza,na Mjumbe wa Halmashauri kuu wamesambaa huku na kule na kazi ni hiyohiyo moja.Mgombea ambaye bado ni rais muda mwingine anakuwa na majukumu ya kiserikali na ni muhimu kuyakabili kwa sababu mambo lazima yaendelee.Vilevile hazuiliwi kupumzika.
Lakini hata hivyo nimekuita bwege la chadema kwa sababu hata kama kupumzika kwake unaona kunampunguzia kura zake basi hiyo ni faida kwenu,inakuuma nini ? Au mnataka kusema chadema mnapenda Magufuli ashinde ? Mnanishangaza kwa sababu juzi hapa mwenyekiti wenu wa maisha alilalama kuwa kwa nini hawaambiwi mgombea wa CCM ana anapumzika kwa sababu gani,kwanba ni mgonjwa au vipi .Kesho yake rais aliendelea na ratiba nyingine ya kumpokea mgeni ,rais wa Malawi.Kwa Mwenyekiti wenu wa maisha kuulizia hayo tulimsamehe kwa sababu hatukujua ameamkaje kutokana na mambo yetu yale.
Kwa hiyo acheni CCM iendelee na ratiba zake kivyake na kufuata taratibu na nyie kivyenu na mufuate sheria na tatibu.