Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

Ila Mungu fundi sana, kutoka kupiga pushapu majukwaani, mpaka kutembea na madaktari majukwaani..
 
Hayo sio mapumziko usiyachukulie poa, itakuwa ni ya kuset mipango mana kwa kutegemea Kura hawatoboi. So ni vyema tufwatilie Kwa ukaribu undani wa hayo mapumziko.
 
Hayo sio mapumziko usiyachukulie poa, itakuwa ni ya kuset mipango mana kwa kutegemea Kura hawatoboi. So ni vyema tufwatilie Kwa ukaribu undani wa hayo mapumziko.
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.

FUNZO: Ukiwa mnufaika (beneficiary) wa mfumo wowote ule usitumie vibaya hiyo privilege kuwatukana/gandamiza/dharau/piga/onea wengine, Hakuna hali inayodumu milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JOHN POMBE MAGUFULI ..AMIRI JESHI MKUU MUOGA KULIKO WOTE KUPATA KUTOKEA TANZANIA ....ANAONEA WANANCHI WANYONGE ...KUFICHA UOGA WAKE NA KUJIVIKA USHUJAAA ....LAKINI IKITOKEA VITA YA KWELI ANAJIFUNGIA NDANI ......AMEOGOPA KWENDA LINDI NA MTWARA KWAKUA TU ANAOGOPA WANANCHI NA KOROSHO ZAO LAKINI KIKUBWA ANAOGOPA WAASI WA MSUMBIJI [ WALIOKUWA MKIRU].....

LAKINI NI RAIS AMBAYE AMEHARIBU SANA MFUMO WETU WA ULINZI NA USALAMA KWA KUPANDISHA VYEO KWA NEPOTISM , LEO INAKUJA VITA YA KWELI VIJANA HAWANA UWEZO ...
HAIJAWAHI KUTOKEA KWENYE MFUMO WETU WA ULINZI ...KUWAKATA PESA YA MAFUNZO [ADA] ASKARI WAKIENDA KWENYE MAFUNZO YA WELEDI ....HAYO MAFUNZO WANAFANYA ILI KULINDA NCHI ....WEWE UNAWAKATA PESA ..INAONDOA SHAUKU YA VIJANA KWENDA KOZI ...

MAGUFULI KWA MIAKA MITANO MFULULIZO AMEKUWA HAPELEKI KWENYE DETACHMENT ZA USALAMA ZENYE VIFAA VYA KIMIKAKATI PESA KWA AJILI YA ROUTINE TESTS , MAINTANANCE AND REPAIR ....
NDEGE ZETU NA MELI VITA HAZIPEWI MAFUTA YA KUFANYA RECONNAISSANCE ....HAO WAASI WAMEACHWA HADI WANATAMBA KWA AJILI YA UBAHILI WAKE ...
MARAIS WALIOPITA WALITUMIA PESA NYINGI SANA KUNUNUA VIFAA VYA GHARAMA NA KIMIKAKATI HADI TUKAWA TUNAOGOPWA LEO HII AMESHINDWA KUTOA PESA YA KUVIHUDUMIA HAVIKO COMBAT WORTHY ....RAIS ATAKAYEKUJA ITABIDI ATUMIE GHARAMA KUBWA SANA KURUDISHA FIRE POWER LEVEL YA TANZANIA .......
BARAZA LA USALAMA WA TAIFA LIMEKUWA NA WATU WAOGA SANA NDIO WAMETUFIKISHA HAPA KWA KUSHINDWA KUMSHAURI KWA WELEDI AU HATA KUWA WAKALI... PALE INAPOBIDI ..
KUNA MARAIS HUWA WANAKUWA MAMLUKI WENYE LENGO LA KUHARIBU MFUMO WA KIULINZI ILI KUFANYA NCHI IANGUKE KWA WATU WALIOMTUMA ....KWA UHARIBIFU ULIOFANYIKA KWENYE MFUMO RASILIMALI WATU NA VIFAA VITA .....LEO HII HATUNA UWEZO WA KUVIMBA KAMA SUPPER POWER ...UNAWEZA KUHISI KATUMWA NA BAHIMA KAMA GOBERCHOV ALIVYOTUMWA KUANGUSHA NGUVU ZA USSSR .......
 
Chama dola kimeshindwa kuliamsha dude?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…