Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM ni raha, ila wakichaguliwa!

Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM ni raha, ila wakichaguliwa!

Retina

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
1,039
Reaction score
1,163
Ukihudhuria kwenye kampeni za CCM, tishet utapata, kofia utapata, mauno utayakata, machambo utayakata, vitisho utavipata, yaan kila aina ya burudani utavipata, wengine hata kutembea na wake na waume za watu.

Ila Sasa wakichaguliwa utanyanyasika balaa, kama bungeni watakutungia sheria kandamizi, watasifu na kuabudu serikali ya CCM, utanyanyasika, kejeli na kila aina ya maswahibu Wananchi wanyonge tutayapata.

CCM sio Chama cha kumkomboa mtanzania dhidi ya umasikini.
 
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
 
Kwanza inafikirisha Sana kampeni kufanywa saa tano wakati watu wapo makazini..

Ni kama target group ni vijana wasio na kazi..
 
Magari ya kampeni ya CCM Mpya yakipita katikati ya mashabiki wa CHADEMA

20201010_153231.jpg
huyu mropkaji wenu na msaliti wa Nchi Lissu atajuta huu mwaka
 
Mtaweweseka sana ila ccm haina mbadala kwasasa. kwa upinzani upi tulionao wa kuitoa ccm madarakani?
 
Kwanza inafikirisha Sana kampeni kufanywa saa tano wakati watu wapo makazini..

Ni kama target group ni vijana wasio na kazi..
Alafu wao ndiyo wakwanza kuwakamata watu etu wazururaji, adi viongoz wengine walikua wanaonya kbsa kama huna kazi usiende mjini.
 
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Hapo kwenye sisi usiniweke kwani sijakutuma! Hivi huyo magu wako so ndiye mropokaji wa kimataifa? Au kuwananga wanawake kila apewapo kipasa sauti kwako ni sawa tu eeh!
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi
Tutawachapa na kuwafuta rasmi
Hapo kwenye sisi usiniweke kwani sijakutuma! Hivi huyo magu wako so ndiye mropokaji wa kimataifa? Au kuwananga wanawake kila apewapo kipasa sauti kwako ni sawa tu eeh!
 
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Kuna uwezekano mkubwa kuwa miongoni mwa ndugu, jamaa na rafiki wa karibu wa Magufuli zaidi ya 75% watampa kura Tundu Lissu. Sasa wewe huo upambe nuksi sijui hata unaupata wapi!
 
Back
Top Bottom