tbc1 wameonesha kwenye kipindi cha usiku wa habari. Kwa kweli hii ni murua sana, kwani watanzania wanaiambia ccm live kwamba sasa ni zamu ya chadema.
Umefika wakati wa kuirejesha tanzania mikononi mwa watanzania! Heko wana-kilimanjaro!
[size=+0]angalia ufinyu wa akili yaani kilimanjaro imekuwa ndio tanzania!!!!! Haka kamkoa hata hakafikii watu laki 5 ukilinganisha na mikoa kama ya kusini na magharibi yenye idadi kubwa sana ya watu! Kama kilimanjaro inawakilisha tanzania yoooote basi hili ni somo jipya inabidi tutafutie darasa lake maalum!!
[/size]
Wacha uongo wewe.Mimi binafsi nilipita baa nyingi wala kuliwa hakuna kitu kama hicho,kuanzia kcmc mpaka Karanga sijaona baa yoyote wakitoa pombe za bure.[SIZE=+0]hizo pombe walizokuwa wakinywa ktk mabaa ya mjini moshi ni malipo ya kushiriki huo mkutano! Ndesamburo alimwaga pesa kibao ktk kila baa na kuwaelekeza wenye mabaa wawanyweshe mashabiki wao baada ya huo mkutano! Baa za soweto, shunti town, majengo, pasua, mji mpya, kiboriloni, karanga, kawawa road, na za mjini ni miongoni mwa baa zilizopewa fedha za chadema!! [/SIZE]
sijui hawa takukuru wanafanya nini!! Yaani huu ni ufisadi na rushwa ya waziwazi!!
asante sana, mangi kwa hii update
[size=+0]angalia ufinyu wa akili yaani kilimanjaro imekuwa ndio tanzania!!!!! Haka kamkoa hata hakafikii watu laki 5 ukilinganisha na mikoa kama ya kusini na magharibi yenye idadi kubwa sana ya watu! Kama kilimanjaro inawakilisha tanzania yoooote basi hili ni somo jipya inabidi tutafutie darasa lake maalum!!
[/size]
[size=+0]hata mwaka 2005 ilikuwa hihivi wakati mbowe anagombea urais na matokeo yake------------tunachukuwa,,,,tunaweka,,,,waaaaa,,,,,,halafu tarehe 1 november tunajuwa chadema wataanza kushangilia ushindi hewa kuanzia asubuhi maana nec itakuwa bado haijatangaza rasmi nani ameshinda na ndipo mutakapo shangaa hapo tarehe 2 au 3 au 4 au 5 ccm kutangazwa mshindi na chadema ndipo mutakapo jiju!![/size]
jamani musikasirike hiyo ndiyo demokrasia kuna kushinda na kushindwa lazima mukubali kushindwa kwani kama ni mahundurio ya watu ndio ushindi munataka kunambia mwaka 1995 wakati lyatonga mrema anagombea urais na ibrahim lipumba 2000 na 2005 na sasa dr.slaa nani alipata mahudhurio makubwa?

tunakujua wewe kadogoo huwa unatokeaga hapa wakiti wa uchaguzi tu. Baada ya hapo unapotea. Lakini this time itakuwa mara ya mwisho kwa vile serikali mpya itakuwa ya chadema hivyo kazi yako inakalibia kwisha. Anza kutafuta kibarua kingine.
Chadema mutawadanganya kilimanjaro tu miaka nenda miaka rudi lakini ccm hawana ubaguzi shule, hospitali, tutawajengea na kuzidi kuwaletea maji matamu zaidi.
kura kwa kikwete na ccm!!!!!!
[size=+0]hata mwaka 2005 ilikuwa hihivi wakati mbowe anagombea urais na matokeo yake------------tunachukuwa,,,,tunaweka,,,,waaaaa,,,,,,halafu tarehe 1 november tunajuwa chadema wataanza kushangilia ushindi hewa kuanzia asubuhi maana nec itakuwa bado haijatangaza rasmi nani ameshinda na ndipo mutakapo shangaa hapo tarehe 2 au 3 au 4 au 5 ccm kutangazwa mshindi na chadema ndipo mutakapo jiju!![/size]
jamani musikasirike hiyo ndiyo demokrasia kuna kushinda na kushindwa lazima mukubali kushindwa kwani kama ni mahundurio ya watu ndio ushindi munataka kunambia mwaka 1995 wakati lyatonga mrema anagombea urais na ibrahim lipumba 2000 na 2005 na sasa dr.slaa nani alipata mahudhurio makubwa?
yaani unataka nipoteze muda wangu wote hapa kuzungumza bla...blaa... Oo chadee juu, juu, juuu zaidi badala ya kujenga nchi!! Sisi baada ya uchaguzi ndio mwisho wa kampeni! Baada ya hapo tunatekeleza sera za chama! Nyinyi endeleeni kukampeni hata baada ya uchaguzi mukizozana humu ndani mpaka kiama kiwakute!!!!!
[SIZE=+0]hata mwaka 2005 ilikuwa hihivi wakati mbowe anagombea urais na matokeo yake------------tunachukuwa,,,,tunaweka,,,,waaaaa,,,,,,halafu tarehe 1 november tunajuwa chadema wataanza kushangilia ushindi hewa kuanzia asubuhi maana nec itakuwa bado haijatangaza rasmi nani ameshinda na ndipo mutakapo shangaa hapo tarehe 2 au 3 au 4 au 5 ccm kutangazwa mshindi na chadema ndipo mutakapo jiju!![/SIZE]