Elections 2010 Kampeni za CHADEMA Moshi Mjini katika picha

Elections 2010 Kampeni za CHADEMA Moshi Mjini katika picha

tbc1 wameonesha kwenye kipindi cha usiku wa habari. Kwa kweli hii ni murua sana, kwani watanzania wanaiambia ccm live kwamba sasa ni zamu ya chadema.

Umefika wakati wa kuirejesha tanzania mikononi mwa watanzania! Heko wana-kilimanjaro!

[size=+0]angalia ufinyu wa akili yaani kilimanjaro imekuwa ndio tanzania!!!!! Haka kamkoa hata hakafikii watu laki 5 ukilinganisha na mikoa kama ya kusini na magharibi yenye idadi kubwa sana ya watu! Kama kilimanjaro inawakilisha tanzania yoooote basi hili ni somo jipya inabidi tutafutie darasa lake maalum!!
[/size]
 
Kweli wewe unatakiwa ukapatiwe tiba na Mwenyekiti wako kule kwa Sheikh Yahya. Kwa nini unachakachua takwimu za Mkoa wa Kilimanjaro? Kwa nini udanganye. Watu hapa wako serious na mambo ya kitaifa wewe unaleta utani.

Mod unawezaje kuruhusu watu wanaotoa taarifa za uongo na kizandiki ili kuharibu JF kama jukwaa la wanaothubutu kufikiri na kusema? Huyu kadogo hana hata muda wa kutafakari anayozungumza, ni ushabiki tu kama wa Simba na Yanga, anaharibu sifa ya JF, Please naomba kumovizisha mosheni AONDOKE!
 
Asanteni sana Eeka Mangi. Sisi tulio mbali tunapoona picha kama hizi tunafarijika sana na kuamini Mungu anasikiliza sala zetu.

OMBI: Hizi picha ni za kihistoria. Zihifadhiwe kama tunu. Zina nafasi sawa na picha za kampeni za TANU za mwezi wa 11, mwaka 1961! Hizi ni picha za msingi za awamu ya pili ya historia ya taifa la Tanzania (awamu ya kwanza ni 1961 - 2010).

Tunasubiri kusikia hotuba aliyotoa kiongozi wetu mpendwa hapo Moshi. Nadhani baada ya hotuba yake ya Arusha, siku atakuja tena Dar atasababisha mamilioni ya watu waende kumsikiliza na kumwonyesha wako bega kwa bega naye.
 
[SIZE=+0]hizo pombe walizokuwa wakinywa ktk mabaa ya mjini moshi ni malipo ya kushiriki huo mkutano! Ndesamburo alimwaga pesa kibao ktk kila baa na kuwaelekeza wenye mabaa wawanyweshe mashabiki wao baada ya huo mkutano! Baa za soweto, shunti town, majengo, pasua, mji mpya, kiboriloni, karanga, kawawa road, na za mjini ni miongoni mwa baa zilizopewa fedha za chadema!! [/SIZE]

sijui hawa takukuru wanafanya nini!! Yaani huu ni ufisadi na rushwa ya waziwazi!!
Wacha uongo wewe.Mimi binafsi nilipita baa nyingi wala kuliwa hakuna kitu kama hicho,kuanzia kcmc mpaka Karanga sijaona baa yoyote wakitoa pombe za bure.

Kikwete pamoja na kudanga ataipandisha hospitali ya Mawenzi hadhi kuwa ya rufaa lakini haikupunguzia Dr Slaa na Ndesamburo supporters.
 
Wewe kadogoo,mbona unakuwa mdogo.tuliza mshono,acha wivu wa kike.

PRESIDENT DR, SLAA
 
[size=+0]angalia ufinyu wa akili yaani kilimanjaro imekuwa ndio tanzania!!!!! Haka kamkoa hata hakafikii watu laki 5 ukilinganisha na mikoa kama ya kusini na magharibi yenye idadi kubwa sana ya watu! Kama kilimanjaro inawakilisha tanzania yoooote basi hili ni somo jipya inabidi tutafutie darasa lake maalum!!
[/size]

Kadogoo ndugu yangu sijui niseme nini ila labda kwa sababu ni kadogoo basi wacha nikwambie moja, Jaribu sana kutoku-under rate mtu yeyote. Unapozungumza Kilimanjaro usifikiri ni wachache kihivyo. Weka ushabiki pembeni, tukubali tu kuwa kama mwenzako kafunika.
Acha kuchafua hewa na ukubali kuelewa kuwa haya ni maamuzi ya watu waelewa wenye maamuzi yao na inabidi uyaheshimu.
 
[size=+0]hata mwaka 2005 ilikuwa hihivi wakati mbowe anagombea urais na matokeo yake------------tunachukuwa,,,,tunaweka,,,,waaaaa,,,,,,halafu tarehe 1 november tunajuwa chadema wataanza kushangilia ushindi hewa kuanzia asubuhi maana nec itakuwa bado haijatangaza rasmi nani ameshinda na ndipo mutakapo shangaa hapo tarehe 2 au 3 au 4 au 5 ccm kutangazwa mshindi na chadema ndipo mutakapo jiju!![/size]

jamani musikasirike hiyo ndiyo demokrasia kuna kushinda na kushindwa lazima mukubali kushindwa kwani kama ni mahundurio ya watu ndio ushindi munataka kunambia mwaka 1995 wakati lyatonga mrema anagombea urais na ibrahim lipumba 2000 na 2005 na sasa dr.slaa nani alipata mahudhurio makubwa?

Tunakujua wewe Kadogoo huwa unatokeaga hapa wakiti wa uchaguzi tu. Baada ya hapo unapotea. Lakini this time itakuwa mara ya mwisho kwa vile serikali mpya itakuwa ya Chadema hivyo kazi yako inakalibia kwisha. Anza kutafuta kibarua kingine.
 
[size=+0]angalia ufinyu wa akili yaani kilimanjaro imekuwa ndio tanzania!!!!! Haka kamkoa hata hakafikii watu laki 5 ukilinganisha na mikoa kama ya kusini na magharibi yenye idadi kubwa sana ya watu! Kama kilimanjaro inawakilisha tanzania yoooote basi hili ni somo jipya inabidi tutafutie darasa lake maalum!!
[/size]

At least umeanza kuelewa somo!!
 
tunakujua wewe kadogoo huwa unatokeaga hapa wakiti wa uchaguzi tu. Baada ya hapo unapotea. Lakini this time itakuwa mara ya mwisho kwa vile serikali mpya itakuwa ya chadema hivyo kazi yako inakalibia kwisha. Anza kutafuta kibarua kingine.

yaani unataka nipoteze muda wangu wote hapa kuzungumza bla...blaa... Oo chadee juu, juu, juuu zaidi badala ya kujenga nchi!! Sisi baada ya uchaguzi ndio mwisho wa kampeni! Baada ya hapo tunatekeleza sera za chama! Nyinyi endeleeni kukampeni hata baada ya uchaguzi mukizozana humu ndani mpaka kiama kiwakute!!!!!
 
Kadogoo
Senior Member
Join Date Mon Feb 2007
Posts 81
Thanks 0
Thanked 11 Times in 5

Sishangai tangu ulipojiunga to date hujaweza hata siku moja kumpongeza mtu ingawa kuna watu kama 11 wamekupongeza. Hii inaonyesha ulivyo mbinafsi.
 
Chadema mutawadanganya kilimanjaro tu miaka nenda miaka rudi lakini ccm hawana ubaguzi shule, hospitali, tutawajengea na kuzidi kuwaletea maji matamu zaidi.

kura kwa kikwete na ccm!!!!!!

[size=+0]hata mwaka 2005 ilikuwa hihivi wakati mbowe anagombea urais na matokeo yake------------tunachukuwa,,,,tunaweka,,,,waaaaa,,,,,,halafu tarehe 1 november tunajuwa chadema wataanza kushangilia ushindi hewa kuanzia asubuhi maana nec itakuwa bado haijatangaza rasmi nani ameshinda na ndipo mutakapo shangaa hapo tarehe 2 au 3 au 4 au 5 ccm kutangazwa mshindi na chadema ndipo mutakapo jiju!![/size]

jamani musikasirike hiyo ndiyo demokrasia kuna kushinda na kushindwa lazima mukubali kushindwa kwani kama ni mahundurio ya watu ndio ushindi munataka kunambia mwaka 1995 wakati lyatonga mrema anagombea urais na ibrahim lipumba 2000 na 2005 na sasa dr.slaa nani alipata mahudhurio makubwa?

yaani unataka nipoteze muda wangu wote hapa kuzungumza bla...blaa... Oo chadee juu, juu, juuu zaidi badala ya kujenga nchi!! Sisi baada ya uchaguzi ndio mwisho wa kampeni! Baada ya hapo tunatekeleza sera za chama! Nyinyi endeleeni kukampeni hata baada ya uchaguzi mukizozana humu ndani mpaka kiama kiwakute!!!!!

Duuh!!:confused2::confused2::shocked::shocked:.....70%.
 
[SIZE=+0]hata mwaka 2005 ilikuwa hihivi wakati mbowe anagombea urais na matokeo yake------------tunachukuwa,,,,tunaweka,,,,waaaaa,,,,,,halafu tarehe 1 november tunajuwa chadema wataanza kushangilia ushindi hewa kuanzia asubuhi maana nec itakuwa bado haijatangaza rasmi nani ameshinda na ndipo mutakapo shangaa hapo tarehe 2 au 3 au 4 au 5 ccm kutangazwa mshindi na chadema ndipo mutakapo jiju!![/SIZE]

jamani musikasirike hiyo ndiyo demokrasia kuna kushinda na kushindwa lazima mukubali kushindwa kwani kama ni mahundurio ya watu ndio ushindi munataka kunambia mwaka 1995 wakati lyatonga mrema anagombea urais na ibrahim lipumba 2000 na 2005 na sasa dr.slaa nani alipata mahudhurio makubwa?

Usidanganyike na kama umekubali kudnganyika usitudnaganye. Wadanganyika wameshachoka kudanganyika. wewe ishi tu kwa matumaini.
 
2nb8rpy.jpg

Hii nyomi na ile ya bunda, musoma, tarime, etc ishawishiwe kulinda kura ili ccm wasifanye mambo ya mugabe au kibaki hapa.
 
Back
Top Bottom