tbc1 wameonesha kwenye kipindi cha usiku wa habari. Kwa kweli hii ni murua sana, kwani watanzania wanaiambia ccm live kwamba sasa ni zamu ya chadema.
Umefika wakati wa kuirejesha tanzania mikononi mwa watanzania! Heko wana-kilimanjaro!
[size=+0]angalia ufinyu wa akili yaani kilimanjaro imekuwa ndio tanzania!!!!! Haka kamkoa hata hakafikii watu laki 5 ukilinganisha na mikoa kama ya kusini na magharibi yenye idadi kubwa sana ya watu! Kama kilimanjaro inawakilisha tanzania yoooote basi hili ni somo jipya inabidi tutafutie darasa lake maalum!!
[/size]