Binafsi nitashangaa Sana Magufuli akipata majority votes Bukoba!
Haiwezekani JIWE kushinda Bukoba, atapata kura kule kwao alikojenga uwanja wa ndege!! ISHOMILE hawana mchezo hata huyo BIBI MBOGA hana shida ya uteuzi wake; kwani ana pension yake nono sana, inamtosha kula na wajukuu zake!!