Binafsi nitashangaa Sana Magufuli akipata majority votes Bukoba!
Endeleeni kujifariji, lakini mshindi ni ccm Magufuli 95% wabunge na madiwNi
Hii tume tutaitumia kumnyoosha Mchato huku Bukoba kichapo nikile kile ...hatutaki PhD fakeSio kwa kura, labda kwa tume hii isiyo huru ya uchaguzi.
Kweli eeeeeeh, asante kwa kujifurahisha.Haiwezekani JIWE kushinda Bukoba, atapata kura kule kwao alikojenga uwanja wa ndege!! ISHOMILE hawana mchezo hata huyo BIBI MBOGA hana shida ya uteuzi wake; kwani ana pension yake nono sana, inamtosha kula na wajukuu zake!!
Huu uongo munajifanya kwa ajili ya wazungu lakini sio kwa manufaa ya watanzania.
Kama hujui kuhusu bodaboda na uchaguzi bora ukae kimya.
Wao ni kambi popote ilimradi kawekewa mawese yakumfanya azunguke unakotaka aande
Endeleeni kujifariji, lakini mshindi ni ccm Magufuli 95% wabunge na madiwNi
Kweli eeeeeeh, asante kwa kujifurahisha.
Haamini akionacho kwa maana aliaminishwa alichokiona!!Uongo upi tena mkuu? Au na hii nayo nimetengeneza?
Hahaa ccm wajipange
Kimbunga Kumba kumba hichiWell, he might be right Sir!
Hiyo ni tabia ya maccm. Lete ushahidi kama kuna jimbo lolote Chadema imewahi kutoa mafutaKama hujui kuhusu bodaboda na uchaguzi bora ukae kimya.
Wao ni kambi popote ilimradi kawekewa mawese yakumfanya azunguke unakotaka aande
Wanabukoba wamemktaa shetani na mambo yake yoteEndeleeni kujifariji, lakini mshindi ni ccm Magufuli 95% wabunge na madiwNi
Huko kwa maccm sawa. Hii hai apply kwetu chadema.Boda boda ni kama vile hawana chama, wao wanahitaji tu mafuta na posho, kwa hiyo ni vigumu sana kujihakikishia kama wako upande wako wako.
Usitutukane hapa tarime tupo na cdm ila posho tunakula nyinyiemu.Boda boda ni kama vile hawana chama, wao wanahitaji tu mafuta na posho, kwa hiyo ni vigumu sana kujihakikishia kama wako upande wako wako.
Kuna kitu hamuelewi hapo,huoni kuwa bodaboda n nyingi kuliko waenda kwa miguu,yaani bodoboda ni 99%,maana yake bodaboda wanajaziwa mafuta na kupewa hesabu ya ck Basi wana unga msafara,ni mahesabu madogo t
Ccm mwaka huu wana hali ngumu mno