joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa hoja zako ziko vizuri zinamake sense sanaMaana ya demokrasia ni pamoja na uchaguzi ambao ni huru na wa haki. Demokrasia sio kuchagua chagua vipengele fulani na kupuuza vingine ambavyo ni nyeti zaidi. Vipi kuhusu tume ya uchaguzi, ni ile ile ambayo ilifanya maigizo ya ajabu ajabu uchaguzi uliopita? Wanahabari nao wanafanya haki kwa wagombea wote na vyama vyote kwa kufanya 'balanced coverage' ya kampeni? TBCCM inatoa muongozo na mfano mzuri kwa wanahabari wenzao, au ipo chini ya kisigino cha chama tawala? Wafanyakazi wa umma wapo huru kujihusisha na kampeni za vyama wanavyovitaka wao au wamebanwa na 'muajiri' wao? Nina maswali kibao.
An opposition leader in Kenya has never been shot 16 times during the campaigns. Na mkimaliza campaigns zenu ambieni Magufuli asisahau kurudisha hile chopper alikodi kutoka Kenya.
Rais mtarajiwa Labda rais wa Vibendera wote Duniani nasio Wa Tanzania Never"hadi sasa hakuna mtu yeyote aliyepigwa na polisi au wanachama wa vyama vya upinzani kushambuliana kwa aina yoyote ile, hii ndio maana halisi ya demokrasia, amani na utulivu"
Boss una hakika na hilo? Ngoja nikukumbushe haya mawili japo tujipongeze tumejitahidi sana ila CCM,NEC na wakurugenzi wanataka kutuvurugia.
[emoji117]Mwanachama wa NCCR mageuzi alikatwa sikio vunjo
[emoji117]Wahuni wa CCM walimtupia mawe Mh Rais mtarajiwa TAL