Kampeni za uchaguzi Tanzania, fundisho kwa Kenya

Kampeni za uchaguzi Tanzania, fundisho kwa Kenya

Maana ya demokrasia ni pamoja na uchaguzi ambao ni huru na wa haki. Demokrasia sio kuchagua chagua vipengele fulani na kupuuza vingine ambavyo ni nyeti zaidi. Vipi kuhusu tume ya uchaguzi, ni ile ile ambayo ilifanya maigizo ya ajabu ajabu uchaguzi uliopita? Wanahabari nao wanafanya haki kwa wagombea wote na vyama vyote kwa kufanya 'balanced coverage' ya kampeni? TBCCM inatoa muongozo na mfano mzuri kwa wanahabari wenzao, au ipo chini ya kisigino cha chama tawala? Wafanyakazi wa umma wapo huru kujihusisha na kampeni za vyama wanavyovitaka wao au wamebanwa na 'muajiri' wao? Nina maswali kibao.
We jamaa hoja zako ziko vizuri zinamake sense sana
 
An opposition leader in Kenya has never been shot 16 times during the campaigns. Na mkimaliza campaigns zenu ambieni Magufuli asisahau kurudisha hile chopper alikodi kutoka Kenya.

oppositio leader yupi amepigwa mara 16 kipindi hiki cha campaign???

anyway kuhusu chopa usiwaze,hatuwezi mpandisha rais wetu kipenzi kwenye komanguku,hilo screpa tumuue.

hayo yanaua wanajeshi kenya kila siku yanaangukia milimani,hatuwezi risk maisha ya rais wetu kwenye hiyo trash.
 
"hadi sasa hakuna mtu yeyote aliyepigwa na polisi au wanachama wa vyama vya upinzani kushambuliana kwa aina yoyote ile, hii ndio maana halisi ya demokrasia, amani na utulivu"

Boss una hakika na hilo? Ngoja nikukumbushe haya mawili japo tujipongeze tumejitahidi sana ila CCM,NEC na wakurugenzi wanataka kutuvurugia.
[emoji117]Mwanachama wa NCCR mageuzi alikatwa sikio vunjo
[emoji117]Wahuni wa CCM walimtupia mawe Mh Rais mtarajiwa TAL
Rais mtarajiwa Labda rais wa Vibendera wote Duniani nasio Wa Tanzania Never
 
Back
Top Bottom