BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Mashabiki wa mpira wa miguu waliamua kutumia mabango mbalimbali wakati wa mchezo wa Simba na Yanga kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa Benjamini Mkapa ambazo zimetumika pia kutangaza uchaguzi wa Serikali za Mtaa.
Mashabiki wa Simba na Yanga wametumia mchezo wa Derby ya Kariakoo leo Oktoba 19, 2024 kuhamasishana kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mtaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 ili kupata viongozi bora kwa maendeleo ya soka kwanzia mitaani, vinapopatikana vipaji vya kweli
.