Pre GE2025 Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa zilivyofanyika kwenya mechi ya Simba Vs Yanga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Mashabiki wa mpira wa miguu waliamua kutumia mabango mbalimbali wakati wa mchezo wa Simba na Yanga kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa Benjamini Mkapa ambazo zimetumika pia kutangaza uchaguzi wa Serikali za Mtaa.

Mashabiki wa Simba na Yanga wametumia mchezo wa Derby ya Kariakoo leo Oktoba 19, 2024 kuhamasishana kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mtaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 ili kupata viongozi bora kwa maendeleo ya soka kwanzia mitaani, vinapopatikana vipaji vya kweli




.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…