Kampeni za uchaguzi wa urais za Tundu Lissu ya 2020 zitakumbukwa kwa vizazi vingi vijavyo

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
2,428
Reaction score
3,937
Moja ya matukio makubwa yaliyowahi kutokea Tanzania ambayo vizazi vijavyo vitarudi na kuvitafakari itakuwa ni kampeni za uchaguzi wa Urais wa 2020 wa mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu.

Ni kampeni iliyokuwa umegubikwa na sintofahamu nyingi, ni uchaguzi ambao ulikuwa na mchanganyiko wa matumaini na kukata tamaa. Ni kampeni ambayo wachache sana walikuwa na ujasiri mkubwa kulinda uhuru mdogo wa kujieleza uliokuwa umebaki miongoni mwa Watanzania wengi huku wengi wakiamua, labda bila kupenda, kukaa kimya au wengine hata 'kuunga mkono juhudi' waziwazi au kwa kificho.

Huku 'theme song' ya kampeni hiyo ukiwa ni wimbo sahihi kabisa katika nyakati zile wa 'One Love' ya Bob Marley, Watanzania walikuwa katika ile wanaita 'at the crossroads'.

Nikimnukuhu mwandishi Charles Dickens, "....ulikuwa ni msimu wa mwanga, ulikuwa ni msimu wa giza nene....". Kampeni zile zilikuwa ni moja ya dozi za mwisho mwisho katika jitihada za kuokoa uhai wa Mama Tanzania.
 
Sawa mkuu lakini hii mbona haifikii kwa Lowassa enzi zile wanachuana na magu ilikuwa amsha.
Ila hizi za Tundu si sana.
Nilitoka kumzika T.B Joshua nitarudi
 
Lissu ana uwezo mkubwa sana wa kimapambano. Ana ujasiri na moyo mgumu sana. Ninampinga kwa mengi lakini ni mwanasiasa ambaye ninamheshimu sana kwa uwezo wake, ujasiri, na consistency yake katika mapambano. To me, ndiye mwanasiasa wa upinzani reliable na wa maana Tanzania. Kupambana na JPM anahitaji tuzo kubwa. Kama kuna wizi wa kura Tanzania uliwahi kutokea, basi kura zilizoibwa ni za Lissu. If I were President,ningefanya investigation ya kufahamu nani alimpiga risasi
 
Kwa jinsi Jiwe alovyokuwa amejizatiti hadi kuandaa mabomu ya nyukilia na Lissu hakuogopa kukabiliana naye ni dhahili Lissu naweza kumlinganisha na Mwanajeshi mahili wa kihistoria Mfalme Daudi aliyeua Chui 1000 kwa mikono bila siraha.
 
I did support JPM kwenye maeneo mengi hasa kodi na corona. Lakini kwa Lissu na upinzani, frankly speaking nilimwona mtu wa ajabu sana. Kulikuwa hakuna ulazima wa "kushinda kwa kishindo" namna ile. Ilikera sana kwakweli. Lissu ni shujaa wa kizazi hiki licha ya weaknesses zake nyingi tu.
 
Pengine hata urais angeshinda bila shaka lakini alikuwa mwoga sana akaamua kufanya aliyofanya. Mungu akamtandika adhabu ya kifo.
 
Sawa mkuu lakini hii mbona haifikii kwa Lowassa enzi zile wanachuana na magu ilikuwa amsha.
Ila hizi za Tundu si sana.
Nilitoka kumzika T.B Joshua nitarudi
Lowassa hakugombea wakati Mwendawazimu akiwa na RUNGU.

Lissu aligombea wakati Mwendawazimu tayari kalewa madaraka, anatesa na kuua kila anaempinga. Lissu anaishi na risasi za Magufuli mwilini. Mungu ametuepushia mbali Muuaji yule.

usichoelewa hapa ni nyakati tu. Mada hii umeshindwa kuelewa isome tena kwa utulivu.
 
Pengine hata urais angeshinda bila shaka lakini alikuwa mwoga sana akaamua kufanya aliyofanya. Mungu akamtandika adhabu ya kifo.
Iwe kafa kweli Mwendawazimu yule, isije kua amekimbia na zile trillion zetu, tutakufa sisi tumfuate huko azitoe kodi zetu kwenye matundu yake.
Watanganyika hatuna jambo dogo😂
 
Sawa mkuu lakini hii mbona haifikii kwa Lowassa enzi zile wanachuana na magu ilikuwa amsha.
Ila hizi za Tundu si sana.
Nilitoka kumzika T.B Joshua nitarudi
Lowasa na Lisu waligombea urais tukiwa ktk hali 2 tofauti Kisiasa. Muda Lowasa anagombea, Rais aliyekuwa madarakani alikuwa Kikwete ambaye kwa kweli alitoa uhuru mkubwa sn kwa vyama vya siasa ku-exercise shughuli zao za siasa na hakukuwa na vitisho wala uhasama wa Kisiasa. kwa hiyo Lowasa alipata bahati hiy, lakini Kipindi ambacho Lisu anagombea 2020 Rais aliyekuwa madarakani alikuwa JPM ambapo hali ya kisiasa, uhuru wa kujieleza na wa vyombo vya habari nk wewe unaelewa vizuri na hatuhitaji maneno mengi. Kiukweli, Tundu Lissu ni shujaa hasa na mtu aliyejitoa na kujikana kupambana kwa namna ile na ktk zama zile. Vyombo vingi vya habari havikuwa upande wake, lakini nyomi alizojaza na kukubalika kwake mtaani ulikuwa ni ujumbe kwao kuwa huwezi zuia mto kwa jivu. Mungu ampe uhai mrefu na amwachie Mungu yote yaliyopita.
 
Amana ya Tundu Lissu
Mungu kamwekea iko pale pale. Ile zawadi ya kukubalika aliyopewa wakti wak uchaguzi haiwei kwenda Bure.
 
Lissu ana uwezo mkubwa sana wa kimapambano. Ana ujasiri na moyo mgumu sana. Ninampinga kwa mengi lakini ni mwanasiasa ambaye ninamheshimu sana kwa uwezo wake, ujasiri, na consistency yake katika mapambano. To me, ndiye mwanasiasa wa upinzani reliable na wa maana Tanzania. Kupambana na JPM anahitaji tuzo kubwa. Kama kuna wizi wa kura Tanzania uliwahi kutokea, basi kura zilizoibwa ni za Lissu. If I were President,ningefanya investigation ya kufahamu nani alimpiga risasi
Hakina umenena vyema sn
 
Lowasa na Lisu waligombea urais tukiwa ktk hali 2 tofauti Kisiasa. Muda Lowasa anagombea, Rais aliyekuwa madarakani alikuwa Kikwete ambaye kwa kweli alitoa uhuru mkubwa sn kwa vyama vya siasa ku-exercise shughuli zao za siasa na hakukuwa na vitisho wala uhasama wa Kisiasa. kwa hiyo Lowasa alipata bahati hiy, lakini Kipindi ambacho Lisu anagombea 2020 Rais aliyekuwa madarakani alikuwa JPM ambapo hali ya kisiasa, uhuru wa kujieleza na wa vyombo vya habari nk wewe unaelewa vizuri na hatuhitaji maneno mengi. Kiukweli, Tundu Lissu ni shujaa hasa na mtu aliyejitoa na kujikana kupambana kwa namna ile na ktk zama zile. Vyombo vingi vya habari havikuwa upande wake, lakini nyomi alizojaza na kukubalika kwake mtaani ulikuwa ni ujumbe kwao kuwa huwezi zuia mto kwa jivu. Mungu ampe uhai mrefu na amwachie Mungu yote yaliyopita.
Kupambana na dikteta siyo kazi ndogo Lissu ni shujaa wa kweli
 
Tundu Lissu wapeleke Mchaka Mchaka...hicho kibao kilikuwa kiki kita kwenye pace maker hahaa!!

Mimi nilikuwa nasema saa ngapi itapiga shoti
icon_lol.gif

Tundu Lissu 2025
 
Lissu ana uwezo mkubwa sana wa kimapambano. Ana ujasiri na moyo mgumu sana. Ninampinga kwa mengi lakini ni mwanasiasa ambaye ninamheshimu sana kwa uwezo wake, ujasiri, na consistency yake katika mapambano. To me, ndiye mwanasiasa wa upinzani reliable na wa maana Tanzania. Kupambana na JPM anahitaji tuzo kubwa. Kama kuna wizi wa kura Tanzania uliwahi kutokea, basi kura zilizoibwa ni za Lissu. If I were President,ningefanya investigation ya kufahamu nani alimpiga risasi
Saa hizi naona uwezo wake wa mapambano umehamia kwa Diamond bila shaka hapa napo ataweza!
 
Back
Top Bottom