Kampeni za uchaguzi wa urais za Tundu Lissu ya 2020 zitakumbukwa kwa vizazi vingi vijavyo

Kampeni za uchaguzi wa urais za Tundu Lissu ya 2020 zitakumbukwa kwa vizazi vingi vijavyo

Sawa mkuu lakini hii mbona haifikii kwa Lowassa enzi zile wanachuana na magu ilikuwa amsha.
Ila hizi za Tundu si sana.
Nilitoka kumzika T.B Joshua nitarudi
Sijui hata unajua anaongelea nini.. maana mnaongelea vitu tofauti!!
 
Back
Top Bottom