Kampeni zimeisha, pikipiki na baiskeli alizogawa Samia zinadaiwa huko

Sasa kukaguliwa ni kudaiwa mbona ni kawaida tu mnakuza mambo.... Kimsingi hawakupewa ziwe zao ni mali ya chama.
📌🔨
Ile ni mali ya Chama kwahiyo wenyewe wakiamua chochote muda wowote haiwi nongwa
Maslahi ya ukombozi wa Taifa tunatakiwa kufocuss kwenye ishu za msingi otherwise tutakuwa tunafuata upepo tu tunakosa lengo kuu, mara tunajadili Mafwele kutekwa, TFF, akija Habil tumo etc 🙏
 
Zingine zilipata ajali na kuharibika, zitatoka wapi?
Ndo utaijua CCM vizuri, serikali ya ccm haina pesa, misaada yote toka magaribi mwa dunia hii imezuiliwa mpaka kufikia hatua ya kuuza hazina kuu (DHAHABU) kusuport matumizi ya serikali katika miradi iliyoianzisha ( short and long run projects). Ukaguzi ni ukusanyaji maana si za wajumbe bali ni za chama kwa jina la SAMIA 2025, kimbembe macho kwa walioziharibu au kizigeuza katika matumizi yao binafsi na kupotea.
What a f*** political campaign was it?!🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…