Kampeni zimeisha, pikipiki na baiskeli alizogawa Samia zinadaiwa huko

Kampeni zimeisha, pikipiki na baiskeli alizogawa Samia zinadaiwa huko

📌🔨
Ile ni mali ya Chama kwahiyo wenyewe wakiamua chochote muda wowote haiwi nongwa
Maslahi ya ukombozi wa Taifa tunatakiwa kufocuss kwenye ishu za msingi otherwise tutakuwa tunafuata upepo tu tunakosa lengo kuu, mara tunajadili Mafwele kutekwa, TFF, akija Habil tumo etc 🙏
Watu wanajadili hayo hayo, na hayo mengine ya msingi pia. Labda ww useme kila siku unajadili yapo ya msingi na huwa unayajadilia wapi. Hili jukwaa likisuburi kujadili ya msingi tu, mbona habari zitakaa hata mwezi kabla ya kuja nyingine?
 
Hii nikweli, Pikipiki zote walizopewa Madiwani na Makatibu maeneo ya kata wanatakiwa kuzirudisha hadi mwisho kesho
zingine zimechakaa na kuharibika vibaya kwa ajali na matunzo hafifu, utazirudishaje?
 
Huu uchaguzi ningepats hata baiskeli ys kuzungukia shamba
 
Nyumbu zinaenda tu kila zinapokopelekwa sasa wameletwa kwenye pikipiki baada ya mafwele
 
Hakosekani mwamba mmoja aliyeipiga bei
 
Kama zilichomwa moto wakati wa maandamano inakuaje ?
 
Kama una pikipiki au baiskeli za bi chura na hujaziuza mpk leo Basi wewe ni pimbi!
 
📌🔨
Ile ni mali ya Chama kwahiyo wenyewe wakiamua chochote muda wowote haiwi nongwa
Maslahi ya ukombozi wa Taifa tunatakiwa kufocuss kwenye ishu za msingi otherwise tutakuwa tunafuata upepo tu tunakosa lengo kuu, mara tunajadili Mafwele kutekwa, TFF, akija Habil tumo etc 🙏
Wenye akili ni wachache
 
Back
Top Bottom