Watu wanajadili hayo hayo, na hayo mengine ya msingi pia. Labda ww useme kila siku unajadili yapo ya msingi na huwa unayajadilia wapi. Hili jukwaa likisuburi kujadili ya msingi tu, mbona habari zitakaa hata mwezi kabla ya kuja nyingine?ππ¨
Ile ni mali ya Chama kwahiyo wenyewe wakiamua chochote muda wowote haiwi nongwa
Maslahi ya ukombozi wa Taifa tunatakiwa kufocuss kwenye ishu za msingi otherwise tutakuwa tunafuata upepo tu tunakosa lengo kuu, mara tunajadili Mafwele kutekwa, TFF, akija Habil tumo etc π
Ni Mali ya chama sio ya mtu binafsiLucas Mwashambwa , Tlaatlaah , Troll JF , ChoiceVariable na chawa wenzenu rudisheni hizo boda chama hakina pesa..
zingine zimechakaa na kuharibika vibaya kwa ajali na matunzo hafifu, utazirudishaje?Hii nikweli, Pikipiki zote walizopewa Madiwani na Makatibu maeneo ya kata wanatakiwa kuzirudisha hadi mwisho kesho
Hivi karibu ni nimeona zingine zinazurura huku mtaami chukua chako chukueni zote ili mazombi yajue yaliingia cha ke!
Ni ukaguzi tu jmnπ
Kwani zilikuwa bati?Zingine zilipata ajali na kuharibika, zitatoka wapi?
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzuWewe chawa Lucas Mwashambwa ile pikipiki uliyokua unatambia humu umerudisha tayari?
Acheni kujichekesha kama mazuzu.Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah , Troll JF , ChoiceVariable na chawa wenzenu rudisheni hizo boda chama hakina pesa..
Rudisha pikipiki wewe, wamesema wanaanza msako wa nyumba kwa nyumba.Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzu
Waulize kadi ziko wapi???Na nguvu ya kuzikagua inatoka wapi kama si kwamba zinadaiwa??
Ina maana kwamba, hizi pikipiki waligewa kukiwa na tarifa kuwa si mali yao
Wenye akili ni wachacheππ¨
Ile ni mali ya Chama kwahiyo wenyewe wakiamua chochote muda wowote haiwi nongwa
Maslahi ya ukombozi wa Taifa tunatakiwa kufocuss kwenye ishu za msingi otherwise tutakuwa tunafuata upepo tu tunakosa lengo kuu, mara tunajadili Mafwele kutekwa, TFF, akija Habil tumo etc π
Hadi vitu vya kipuuzi na vyenyewe wanamaindi,,Duh!!!Hii nikweli, Pikipiki zote walizopewa Madiwani na Makatibu maeneo ya kata wanatakiwa kuzirudisha hadi mwisho kesho