King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
AsanteKuna Amaron ya India, kuna Grobat ya India pia na kuna Atlasbs ya Korea
Asante mkuuKuna elephant
Habari wakuu,
Nahitaji kununua betri mpya kwa ajili ya gari yangu ila ningependelea kampuni tofauti na hiyo chloride exide maana nimeitumia muda mchache sana ,kiufupi sijaipenda (au ni matumizi yangu).
Bila shaka nataka kubalisha kampuni nione kama naweza kupata kampuni tofauti na hii
Na kama kuna mtu anajua mahali wananunua betri mbovu anaweza nielekeza.
Sasa naomba ushauri wenu maana
Battery gani hiyo ina last for 6 years? Viwanda vya battery si vingefungwa[emoji28][emoji28]Umeitumia kwa muda gani?
Typically battery ina last 6 years.
Anafanya masihara huyo 😅!!!Battery gani hiyo ina last for 6 years? Viwanda vya battery si vingefungwa[emoji28][emoji28]
Betri za kuweka maji achana nazo. Nunua maintenance free. Kwa wale wenye gari za diesel za betri mbili. moja ikifa ondoa zote weka mpya.betry ya gari yangu n50,nimemwaga maji yote,nikaweka maji makali upya na kuichaji,baada ya siku 2 tu,haiwezi hata kupiga start kwe nye noah,najipanga ninunue betri mpya tu,ingawa kampuni nzuri sizifahamu...
kwa n50 bei gani mkuu?,na waranty miaka mingapiKama uko vizuri ingia Pugu Rd Superdoll kamata kitu ya Mzungu inaitwa VARTA utapiga miaka 5 bila shida.
Varta ukinunua kwa Dealer Warranty miezi 24. N 70 inaenda Laki 8kwa n50 bei gani mkuu?,na waranty miaka mingapi
Battery gani hiyo ina last for 6 years? Viwanda vya battery si vingefungwa[emoji28][emoji28]
Tembea uoneAnafanya masihara huyo 😅!!!
The best batteries ikivumilia sana ni 2 good years before it starts to be problematic! Mie natumia MaxxBat ni la Kikorea liko bomba tu.
Nilinunua mwaka juzi nikapewa warranty ya mwaka mpaka sasa linapiga kazi vizuri tu!
betry ya gari yangu n50,nimemwaga maji yote,nikaweka maji makali upya na kuichaji,baada ya siku 2 tu,haiwezi hata kupiga start kwe nye noah,najipanga ninunue betri mpya tu,ingawa kampuni nzuri sizifahamu...
Nunua battery za unga zile ndio habari ya mjini now!betry ya gari yangu n50,nimemwaga maji yote,nikaweka maji makali upya na kuichaji,baada ya siku 2 tu,haiwezi hata kupiga start kwe nye noah,najipanga ninunue betri mpya tu,ingawa kampuni nzuri sizifahamu...
Varta N95 ni laki nne na elfu 18Varta ukinunua kwa Dealer Warranty miezi 24. N 70 inaenda Laki 8