Inategemeana na umefunga battery kwenye engine capacity gani. Mimi nimefunga 2018 Spark battery N50 kwenye Engine capacity ya 1600 mpaka leo inadunda tu. Mara nyingi gari yangu ikifanyiwa service nami huwa nafanyia service battery. Pembeni mwa battery kuna matundu mawili, yaoe matundu hakikisha hayazibwi na vumbi/matope, maana yale ndiyo pua ya battery inayosaidia kupumulia. Leo nipo nayo nadunda tu.
Tunahitaji ujuzi zaidi, ila sisi hujichukulia tu battery yoyote.
Nilielekezwa na kijana wa Exide vizuri, nikamwelewa baada ya kufunga sikuwa na shaka yoyote mpaka leo battery iko safi kabisa toka 2018 miaka minne naingia wa tano (Inshallah) wiki ijayo.