profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
sababu ni ipi,kuweka maunga unga mkuu?Battery nyingi tu zinaweza kulast 5 to 6 years.....
Shida ni moja zipo sababu nyingi ambazo zinachangia kufa kwa battery.
Kuna toyota Fielder ya 2012 imenunuliwa 2016 toka Japan ila mpaka dakika hii battery inagonga kazi kama kawaida... Haina hata dalili ya kufa. Hiyo ni miaka mingapi?
Mtu unanunua battery mwezi tu ishaanza kuweka maungaunga, unadhani itamaliza hata miaka miwili?